ASILA's BRIDAL PACKAGE-NEW MAKE-UP STUDIO!!!

ASILA BRIDAL PACKAGE KATIKA KUBORESHA KAZI ZAKE SASA WAMEFUNGUA MAKEUP STUDIO KUBWA YENYE NAFASI KWA AJILI YA KUWAHUDUMIA WATEJA WAKE,  VYUMBA VYA KUTOSHA KWA AJILI YA MAARUSI.
WANAPATIKANA:: MAGOMENI MIKUMI
MAWASILIANO:: +255 717 616 852

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

3 comments:

  1. kaza buti mumy kika mwafundenge hawaoni ndani lakini nyodo kibao, hiyo ni kimya kimya kazi mbele mashauzi baada ya kazi. over.

    ReplyDelete
  2. kwel panavutia,jitahidi uisanze tu nyodo kwa wateja kama kina mwafulani wakati bei kubwaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  3. Jitahidi sana kuzingatia customer care unaweza kuwa na saloon yenye muonekano mzuri lakini kama utawajibu watena kwa nyodo ni bure kabisa, hata mteja akitokea mwenye hali chovu msemeshe vizuri usiwe kama saloon zingine kama hujapelekwa na gari wanakudharau ukipaki gari wewe ndio mteja wanakuchekea jino mpaka kulee kifupi fanya zingatia customer service nzuri uwafundishe na wafanyakazi wako waheshimu wateja sio mwenyewe kama haupo basi na lugha zinabadilika, big up dear saloon yako bomba

    ReplyDelete