SUBIRA & JAFFER AQDI!!

NI NDOA YA SUBIRA & JAFFER, MAARUSI PENDEZA SANA....!!! ZAMA NDANI KUONA ZAIDI...!!! FOLLOW US ON INSTAGRAM "MASHUGHULIBLOG"
DECOR...///
SUBIRA AQDI MAKEUP BY ASILA BRIDAL CARE, KUONA KAZI ZAKE NA ANAPATIKANA WAPI ZAMA HUMU
 HIJAB YA SUBIRA IMEFUNGWA ASILA BRIDAL CARE
 NDOA IKIFUNGWA...!!!
 SHEIKH AKIMUULIZA SUBIRA MBELE YA BABA NA SHANGAZI KUHUSU MCHUMBA ILI NDOA IFUNGWE!!!
NDOA IKIFUNGWA MSIKITINI
 BWANA JAFFER AKIMPA MKONO WA KWANZA MKEWE
 KISHA AKAMTUNZA MAHELA...!!!
KISS YA KWANZA NDOANI
 MAARUSI WAKISAINI VYETI
 MMETUONA MUKE NA MUME!!!!
  MAARUSI WAKIVISHANA PETE
 AUNT AKIKABIDHI PETE KWA WANA NDOA
 SUBIRA AKIBUSU PETE KABLA YA KUMVISHA MUMEWE
KISHA WAKATOKA NJE KWENYE MAULID..!!
KABLA YA MAARUSI KUONDOKA WALIBADILI NGUO YA KWENDA UPANDE WA MUME
MAMA SUBIRA NA WANAWE
MAARUSI & HAMISA
SHOSTITO HAWA MKAMBA MWANZO MWISHO
MASHOSTI WAKIOMBA DUA YA KHERI NDOANI
SUBIRA & HAWA MKAMBA
MAMA MZAA CHEMA

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

9 comments:

 1. ALF MABROUK SUBY N JAFFER..ALLAH AWALINDIE NDOA YENU IN SHAA ALLAH...

  ReplyDelete
 2. WANAWAKE TUKIJISITIRI HIVI TUNAPENDEZA SANA JAMANI , HEBU TUACHE KUINYESHA MANYAMA NYAMA UZEMBE HOVYO HOVYO MWANAMKE STARA! KILA LA KHERI MAHARUSI MLIPENDEZA SANA TENA SANA I LOVE IT !

  ReplyDelete
  Replies
  1. hata mimi nimependa alivyova kajisitiri vizuri kapendeza sana

   Delete
 3. Subira ulipendeza sana I like your simplicity. Salma , Abuja Nigeria.

  ReplyDelete
 4. Mashaallah harusi nzuri mmejistiri ipasavyo.

  ReplyDelete
 5. mashallah,bi harusi.

  ReplyDelete
 6. Nimempenda bi harusi hana mkorogo na full stara

  ReplyDelete
 7. katika zote hii makeup ulipakwa vizuri na ukapendeza shoga, mmpendeza Mashaallah

  ReplyDelete