NAWAONJESHA:: FAIZA ARABIAN NIGHT!!!

WADAU SHUGHULI IMEFUNIKA SI KAWAIDA....!!! BI ARUSI KAPENDEZA SANA SANA MASHALLAH NIMEWAONJESHA , HII ILIKUWA NI LIVE TOKA UKUMBINI, KUYAPATA HAYA FOLLOW ME ON INSTAGRAM HUPATE HAPO KWA HAPO 

 DECORATION BY PICADILLY
 MAMA MZAZI WA BI ARUSI SAIDA KANYAU
 MC JAMILA
 DADA YAKE FAIZA NANA KANYAU
 SHARIFFA MADENGE
 ROSE AIKE
 SHAMSA HASSNO
 SAMIRA WILLIAM
 SHARIFFA KAVU
 SHUMU
 CHUNI & FRIEND
 KITENGE SIMBA
 BAHIYA DESIGNER
 MISHY. JACK, DEVOTA & FRIEND
BAHIYA & BI SAIDA
MIE HUYOO..!!
 MIE HUYO
FAUZI BENBELA
LUMELEZI
SAIDA NA NURU MWENE
TANT
MARIAM MNTAMBO
ZAKIA & SAADA
LILLY & BINTI YAKE
 MASHALLAH FAIZA PENDEZA SANA.....!!!! SAIDA WAKUACHE MIAKA 8000!!!
 FAIZA AKIINGIA NA SOMO
  SISTERS FROM DUBAI...!!
 S
 GORGEOUS FAIZA & SOMO FADYA LOOKING STUNNING
 MC JAMILA HAPANA CHEZEA UNYWELE
 FAIZA & BIBI MASHALLA PENDEZA SANA
MAMA MZAZI WA FAIZA, SAIDA KANYAU AKIWASHURU WAALIKWA NA KUWAKARIBISHA KATIKA FAIZA ARABIAN NIGHT
 FAIZA AKIFICHULIWA....!!!
SAIDA AKIMFICHULA BINTI YAKE KIPENZI MASHALLAH!!! 
 GUSAGUSA MIN BAND LAIVE TAARAB
 BAHIYA LEO KWETU LEO, WATU MAALUM...!!
 SHERRY NA WIFIYE
LILIAN KARAMUNA "BOSS LAY" & FRIENDS
 SHARIFFA & FRIENDS
 MY DOLL ASILA BRIDAL IS IN THE HOUSE
 SHUMU & HASINA MOO
 NURU & SHOSTI WAKE JOHA


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

11 comments:

 1. HII NDIO SHUGHULI SASA, TUPO KITUONI TWASUBIRI MAMBO.

  ReplyDelete
 2. Mashaallah mashaallah mashaallah kilakitu kwenye harusi kilikua kizuri,, kuanzia biharusi kapendeza, , waalikwa wamejitolea,, pambo la hall usiseme mashaallah, , gusagusa nao wameimba hadi raha,, kibao kata nacho wow alokosa hasara yake n chakula mashaallah mashaallah ushindwe kula....MUNGU AKUHIFADHI NA HASAD BI SAIDA N PALIPO BAKIA UMALIZE KWA FURAHA NA SALAMA INSHAALLAH. .AMIN..

  ReplyDelete
 3. Mashallah wenye wivu wajinyonge faiza kapendeza tena sasa na mamaake nampendaje pambe tu.

  ReplyDelete
 4. Mashallah mashallah my sis umependeza sana mungu akujaalie kila La kheri ktk maisha unayoanza ya ndoa mungu akuepushe na kila baya nakupenda dada angu mno kila La kheri

  ReplyDelete
 5. sasa ndo naanza kupata utamu wa kuangalia hii blog,,, kila kitu onpoint....kila la heri mtarajiwa. hongera mama mzazi

  ReplyDelete
 6. mashaallah pendeza sana sis...wish u al da happiness kwenye ndoa yako

  ReplyDelete
 7. yaani nimepata jibu ya swali..hao watu wa uswazi wanabidi wapewe tution ya mapoda aseee...mana hii inaonekana ni ya ushuani kabisaaa mana hata namba za poda wanazijua..hakuna hata mmoja aliyebugi!!beautiful people!!

  ReplyDelete
 8. hii ndio shughuli no michango no nini watu pledges tu sio wenzangu na mie eti shughuli hata kama ndugu hujachanga hualikwi sasa inaingia akilini ndugu yako usimwalike harusini kisa hajachanga? watu wanaua udungu kisa mchango wa harusi na harusi ikiisha udugu utakuepo????

  ReplyDelete
 9. hii shughuli nomaa.. funga kazi

  ReplyDelete
 10. Mambo hayo kumekuchaaaa, somo yangu sharifa kavu ngari'ngari. Kila la kheri faiza na husda za watu, inshaallah mwenyez mungu akuvue nazo. Naweza sema ww ndo utakuwa bi harus utakae funikaa Tanzania na East Africa yote. All the best.

  ReplyDelete