ADELINA's KITCHEN PARTY!!!!

BRIDE                         :: ADELINE RWEHUMBIZA
EVENT                        :: KITCHEN PARTY
VENUE                        :: LAMADA –MAWIMBI GARDEN
COLOR                       :: YELLOW, PURPLE, BLUE & BLACK
MAKEUP                     :: EDNA (NDIBS)
DESIGNER                  :: HOSIAN FASHION
CAKE                          :: NAJMA CAKE
DÉCOR                        :: YAHYA DÉCOR
CATERER                    ::YAHYA CATERER
 
YES NI ADELINE's KITCHEN PARTY, PENDEZA SANA NI WALE WALE MAAGENT WA BANDARI SHUGHULI PAMBE TU, SERA ZAO ZILE ZILE SARE KUVALIWA NA KATA MTI PANDA MTI, BI ARUSI UKO JUU KUTOA ZAWADI YA MADINI...!!! DECOR NA CATERER YA UKWEE'E BY  ANKAL YAHYA!!!! FOLLOW US ON INSTAGRAM:: MASHUGHULIBLOG

MC
 MC MISHY KATIKA KAZI...!!! UPO JUUU!!!
ADELINE AKIINGIA UKUMBINI
 ROSE AKIINGIA UKUMBINI...///
 DADA YAKE ADELINE, ROSE AKIINGIZWA NA PAMBE YA MASHOSTITO
KISHA ADELINE AKAMPOKEA
ADELINA AKITOA INTRO...//
DECOR...///
 ZAWADI
CAKE
KEKI NI JITANDA, MWANAMKE KITANDA EEH!! SHUKA NYEUPE
 CHAMPAGNE
BURUDANI
 MARIAMA KAGUSWA EEH!!!
 YES WANAMUITA ISHA MASHAUZI, MSHINDI WA MSANII BORA WA KIKE WA TAARAB, UKITAKA KUFIKISHA UJUMBE KWA MAMA SIKU YA SHUGHULI YAKO ISHA ANAFANYA KWELI....
HAPA MZUKA UMEPANDA
 
ZAWADI
 ADELINE ALIANZA KUMPA MAMA ZAWADI
 ADELINA AKIVISHA MAMA MADINI, HESHIMA KWA MAMA EEH!!!
MAMA NA MWANA
 MAMA AKIMPA ZAWADI BINTI YAKE
 MAMA AKIKABIDHI VYOMBO VYA JIKONI
 MAMA AKITUNZWA
 EDNA RAFIKI YAKE ADELINE AKIMPA ZAWADI YA SOFA SHOGA YAKE
 ROSE AKIMTUNZA SHOGA YAKE CHENI YA DHAHABU...
.
ROSE AKIMTUNZA ADELINE
ROSE AKIMKABIDHI BEDROOM SET NDUGU YAKE, UA UKWEE'E
 KISHA AKAMKABIDHI FRIDGE 
 ADELINE AKIMVISHA DADA YAKE MADINI, BI ARUSI UKO JUU ULIGAWAJE MADINI...!!
 ROSE AKIFUTWA JASHO
 HAWA NDIO MAAGENT WA BANDARI WANA UMOJA KAMA SISIMIZI, WAKIENDA KUMKOSHA ROSE DADA YAKE ADELINE...!!!
 BAADA YA KUMTUNZA MAHELA SASA NI MWENDO WA MADINI...!!!
 MARIAM WAKIMVISHA ROSE MADINI, MKO JUUU MAAGENT WA BANDARI
 MWENDO WA MADINI MADINI
CHAKULA
NYUSO
MAMA MZAA CHEMA
 ANKAL YAHYA PAMBE TU...
ROSE DADA YAKE ADELINA, MAMA YA BANDARI, HAPANA CHEZEYA
 CHEZEYA MC KIDE NA MASHOSTITOS
MUKE YA MASOUD, MARIAM PENDEZA EEH!!!
MARIAM & FRIEND
SISTERS
 JOYCE & SHOSTITO
RED CARPET

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

4 comments:

 1. pendeza sana jamani, umoja wenu , unapasua anga km Dengueeeeeeeeeeeeeeeeeee!
  hapana km Magent bandariiiiii
  Da Mariam wa Mohammed Inter nakuona umependeza sanaaaaa. BIG UP mwanamke unayejiamin mungu akung'arishe kila upumuapo.

  Mashughuli pia upo juu mama, kazi nzuri mno mungu akuweke uendelee kutupa raha.

  ReplyDelete
 2. THIS WAS VERY SWEET.MOMENTS TO REMEMBER

  ReplyDelete
 3. Ni nzuri,vitu kapata, Kwani Ade na Rose nani Mkubwa?

  ReplyDelete
 4. mmependeza sana! joyce wa KK CARGO bibi harusi mtarajiwa nakuona hapoo!! hongera kwa umoja wenu big up

  ReplyDelete