MSAFIRI & JUDITH WEDDING RECEPTION!!!!!!!!

BRIDE                       :: JUDITH MSUGURI
GROOM                    :: MSAFIRI SHOGHOLO
EVENT                      :: WEDDING RECEPTION
MAKEUP                  :: MAZNAT 
CAKE                        :: JULY CAKE
VENUE                      :: BNN-QUALITY CENTRE
COLOR                     :: RED & GREEN, YELLOW, PINK & PURPLE
CATERER                :: MK CATERING +255 784 953 030
DECOR                     ::JACQUELIE +255 754 281 013
YAP HII RECEPTION YA MSAFIRI NA JUDITH ILIKUWA YA KUKATA NA SHOKA, KILA KITU ON POINT KUANZIA MAARUSI WALIPENDEZA, UKUMBI DECOR YA KUVUTIA, CHAKULA MK CATERING NI KIBOKO TASTE..!!!, MC CHIPOLOPOLO ALIWAPAGAISHA WAALIKWA MANENO KIDOGO, UKIJA KWENYE VINYWAJI USISEME UKIAGIZA MOJA UNALETEWA MBILI, BIG UP TO KAMATI MAMBO YAMETISHA, GUMZO MJINI....!!!

MAARUSI NA MAIDS WAO
KANISANI
NDOA IKIFUNGWA
WAKIVISHANA PETE
JUDITH & MSAFIRI WAKISAINI VYETI
NEW COUPLE...!!!
WAKABEBWA NDANI YA LIMOSINE
HAPA NDIPO MAMBO YAKAENDELEA...!!!!
MC
MC CHIPOLOPOLO, NI MC KIJANA KAZI YAKE BEST, MZIKI NA DJ WAKE WA UHAKIKA, HAKUNA KUKAA  MPE KAZI +255 715 784 744/0758 238 559
MAARUSI WAKIINGIA UKUMBINI
WALIANZA MALAIKA KUINGIA UKUMBINI
PATRONE & MATRONE, WAO PIA NI NEW COUPLE...!!!
MSAFIRI NA JUDITH, HUKU MSAFIRI AKIIMWIMBIA MKE WAKE...!!!
NI FURAHA TU WAKAPOKELEWA NA KITAMBAA CHEUPE...!!!
MWENYEKITI WA KAMATI AKIKARIBISHA WAGENI
MR. MATAGI
DECOR...///
MPAMBAJI KAUTENDEA HAKI UKUMBI
CHUPA ZOTE ZA CHAMP INA PICHA ZA MSAFIRI NA JUDITH
INVITATION CARD
4PCS-UNAPATA CARD YA THANKS NOTE, INVITATION CARD 
INVITATION CARD TOKA KWA BIG PRINTERS WA KADI ZA UKWEE'E KUONA KADI ZAO ZAIDI BONYEZA HAPA SILMAL
CAKE
KAMA NAIJA VILE, KEKI ZOTE JUU YA MEZA ZINA PICHA ZA MAARUSI
WANAKAMATI WAKIENDA KUPOKEA KEKI YAO
HAPANA CHEZEYA KAMATI HII MAMBO YALIKUWA SI YA KAWAIDA
WAKIPOKEA KEKI YAO
MWENYEKITI WA KAMATI AKIKABIDHI CHEQUE MIL. 3.6
CHAMPAGNE
NDAFU
BURUDANI
HAPA ILIKUWA RAHA MAANA WATU NI KULA KUNYWA NA KUCHEZA..!!!
MSAFIRI ALICHEZA SANA....!!!
ZAWADI NA HONGERA
MARIAM NA MUME WAKE MASOUD WAKIFTWA JASHO
MASHOSTITO WAKIMTUNZA MADINI HAPANA CHEZEYA....!!! MAAGENT WA BANDARI
NI MKUFU WA UKWEE'E NA HERENI
WAFANYAKAZI WA MK CATERING, WAKIENDA MTUNZA BOSS WAO MARIAM
WAKAMSHOWER NA MAHELA
DADA MKUBWA AKITUNZWA
MSAFIRI AKAMKOSHA DADA YAKE KWA PESA NDEFUU...!!!
CHAKULA BY MK CATERING
TASTE, MOTOMOTO!!!!
NYUSO
MARIAM DADA YAKE MSAFIRI NA MUME WAKE MASOUD DIRECTOR!!!
MR & MRS MATAGI
MARIAM NA MTOTO WAKE, HB HUYOOO!!!!
MOSSES NA MKE WAKE
MARIAM WALIBADILI NGUO HAPANA CHEZEYA
WAZAZI WA MSAFIRI


CHEREKO NAO WALIKUWEKO, KWA MLIO WAHI ILIONYESHWA TBC1 JUMAPILI
MC CHIPOLOPOLO NA MZEE WA BNN


 JOYCE & HUBBY MALAVIDAVI
WAZAZI WA BI ARUSI
MAMA MBAGA & FRIEND
BARAKA & HAPPY 
UNYWELE...LOL
JOYCE & SHOSTITOS
MARIAM & HUBBY 
HALIMA ISMAIL & SHOSTITOS
RED CARPET
CLOSER LOOK!!!
Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

1 comment:

  1. Da Mariam upo juuuuuu.
    Shughuli pendeza, watu wote pendeza kwa sana.
    Mrs Msumi nakuona na Hubby (Siti) wakuache

    ReplyDelete