MAMA AISHA BILAL MGENI RASMI WOMENS CELEBRATION

MKE WA MAKAMU WA RAIS MAMA AISHA BILAL ANATARAJIWA KUWA MGENI RASMI KATIKA SHUGHULI YA #WOMENSCELEBRATION ITAKAYOFANYIKA MARCH 8 KATIKA UKUMBI WA DIAMOND VIP HALL SAMBAMBA NAE ANAONGOZANA NA KIKUNDI CHA WAKE WA VIONGOZI CHA MILLENIUM WOMEN GROUP
WOMENS CELEBRATION INAYOANDALIWA NA KWA MARA YA TATU MWAKA HUU N BLOG YA 8020 FASHIONS ITAHUDHURIWA NA WANAWAKE KUTOKA KADA MBALIMBALI JIJINI
NA MADA KUU YA MWAKA HUU NI KUKOMESHA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE AMBAPO TUNAWEZA KAMPENI YA OXFAM NDIO WANATAKAOTUPA SOMO JUU YA KUPAMBANA NA UKATILI ,
NA SPONSOR WA SHUGHULI HII NI TUNAWEZA KAMPENI,PSPF,SHEAR ILLUSIONS,MAZNAT BRIDAL CARE,PIXEL BASE,SIMPLY MADINI MICHUZI MEDIA GROUP NA AMERICAN NAILS
TAZAMA PICHA TOFAUTI ZA MAMA AISHA BILAL AKIWA KATIKA HAFLA TOFAUTI
mama aisha  bilali
#AFRICANPRINT NDIO KIVAZI CHA SIKU
Blog-Ad-High-Res mmg

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment