WALE WADAU WANGU MNAOPIGA SIMU KUULIZIA TIKETI SASA
HAYA WADAU WA MASHUGHULIBLOG NAPENDA KUWAFAHAMISHA TAREHE 8TH MARCH 2014 NI SIKUYA WANAWAKE DUNIANI, HAPA KWETU BONGO 8020FASHIONSBLOG, WAMEANDAA EVENT YA KUSHEREKEA SIKU YETU ILI NA SISI TUJIMWAGE, TUJIACHIE KWA RAHA ZETU, WAHI TIKETI YAKO MAPEMA, ANDAA KIVAZI CHAKO CHA KIAFRIKA....!!! KUPENDEZA MUHIMU WADAU WANGU TUKUTANE KWA PICHA ZA RED CARPET...!!!
MAHALI ::DIAMOND JUBILEE VIP HALL
MUDA ::SAA 5 ASUBUHI HADI 2 USIKU
SIKU ::JUMAMOSI
TAREHE ::8 MARCH
HK COLLECTIONS, WANA
VITENGE ORIGINAL KWA AJILI YA VAZI LA KIAFRIKA HUJACHELEWA BADO WAONE UPENDEZE,
MAWASILIANO:: +255 715 555
525
EMAIL.:hmbamba@yahoo.co.uk
WANAPATIKANA:: KINONDONI
BLOCK 41 PLOT NO.; 35 MAJI STREET (MTAA ZILIZOKO OFISI ZA DAWASO, NYUMA YA
JENGO LA AIRTEL UTAONA SALOON YA HK's IMPRESSION.
KUDARIZI MAUA MBALIMBALI
No comments:
Post a Comment