SAKINA's KITCHEN PARTY!!!

BRIDE                       ::SAKINA
EVENT                      ::KITCHEN PARTY
VENUE                      ::WATER FRONT
BRIDAL MAKEUP  ::GLAMBOX
COLOR                     ::LIGHT. BLUE & GOLD
CAKE                        ::MONICA MAKUNDI
MC                             ::LULU - +255 717 002 960/784 121 200
CATERER                 ::FANINA CATERER+255 784 222 426/715 222 426 
YES NI SAKINA's KITCHEN ILIYOPAMBWA KWA RANGI HADIMU, BI HARUSI MCHANGAMFU MWENYE KUSMILE MWANZO MWISHO, NIMEPENDA SANA HAIRSTYLE YAKE YA NYWELE MAKEUP IMETULIA ZAMA NDANI UAWAONE WALE ORIGINALLY WA MUJINI .....!!!!

MC
MC LULU AKIFAYA KAZI YAKE, MANENO MACHACHE KWA WALE WENYE KUHITAJI MC LULU ANAPATIKANA+255 717 002 960/784 121 200 
SAKINA AKIIGIA UKUMBINI
KAKA YAKE SAKINA NURDIN, ALIHUSIKA KUMUINGIZA DADA UKUMBINI KWA SHOW YA UKWEE'E 
KISHA MASHOSTITO WAKAMPOKEA SAKINA NA SEBENE LA NGUVU
WAKATUPA SHOW KIDUCHU
INTRO...//
SAKINA AKIMTAMBULISHA KAKA YAKE
NURDIN
BROTHER & SISTER...!!!
ZAWADI KWA WAZAZI
SAKINA ALIWAPA MAMA ZAKE ZAWADI MAHELA YALIYOTANDAZWA KWENYE UNGO...///, AKIWAAMBIA UNGO WAKAPEPETE MCHELE...
SAKINA NA MAMA ZAKE
DECOR....////
MAMA FATMA KIMARIO AKITUKARIBISHA
CHAMPAGNE
SAKINA ALIGONGA GLASS NA RAFIKI YAKE WALIOSOMA NAYE...!!!
CHEEEERS...//
ESTER AKIGONGA GLASS NA BI HARUSI SAKINA
SAADA NASSOR NA KHADIJA ROZELLA
SAKINA AKIGONGA GLASS NA MAMA MZAZI
CAKE
SAKINA AKIWALISHA MAMA ZAKE 
BIG HUG KWA MAMA FATMA KIMARIO.....///
MAMA KWA PAMOJA WAKAMLISHA SAKIN
WIFIE AKILISHWA KEKI
BURUDANI
WATU WAKIJIACHIA
HAPANA CHEZEYA SHARRIFA KAVU MPASUO....
HAPPY MAMA....!!
FATMA SIMBA MWENYEKITI WA KAMATI....!!!
SIE HAO TUKICHEZA...!!!
ZAWADEE
RAFIKI WA FATMA KIMARIO WAKIKOSHA 
MISHY MPAKA CHINI...!!
MAMA MREMA AKIKABIDHI ZAWADI YA JIWE LETU TANZANITE, TISHAAAA
UMEONA EEH...!!!
MAMA MZAZI AKIKABIDHI ZAWADI ZAKE
SIE HAO DADA ZAKE SAKINA TUKIPELEKA ZAWADI
UMETUONA DADA's FAMILY
FATMA KIMARIO NI MTU WA ZOEZI, WANA GYM WAKIPELEKA ZAWADI
DADAS GROUP WAKIMKOSHA FATMA KIMARIO
SHOSTITOS WAKIMTUNZA SHOSTI, HII NI BEST FRIEND FOREVRE
    WAFANYAKAZI WENZAKE FATMA WAKIMPA ZAWADI
KAPU LA MAMA HILO
SAKINA AKIMTUNZA SOMO YAKE
MAMA JANGUO
HESHIMA KWA SOMO
CHAKULA
NYUSO
SAKINA NA RAFIKI ZAKE
MWANAIDI KISURA & FRIEND
FATMA KIMARIO, PRETTY LADY
MARIAM & SALMA
MY MAKEUP DONE BY MARIAM NEW MAKEUP ARTIST MPIGIE KWA SIMPLE & BRIDAL MAKEUP +255 763 709 871, MY KILEMBA THANK YOU SALMA GEGPE FROM NAIJA!!!
WAZAZI WA SAKINA
SAKINA, KHADIJA & SAADA
FATMA KIMARIO NA RAFIKI ZAKE
PENDEZA EEH!!
NEW MAKEUP ARTIST IN TOWN CALL +255 763 709 871
MAMA MREMA & FRIEND
ROSE, ANGEL & FRIEND, NYUSO ZAGAAA...!!!
DR. HELLEN & FRIEND
MISHY & SHARIFFA
SOPHIA MKINDI & FRIEND

MERY, SHARIFFA & FRIEND
MAMA MZAZI WA SAKINA
MIE NA DADA YANGU...!!! KAMA NAIJA VILE

FATMA SIMBA, HELLEN & FRIEND
MAMA MREMA & SISTER
HAPPY BAGHDELLA, SELINA KOKA MUKE YA MBUNGE SHOSTITO & WIFIE
SAADA & SHARIFFA MADENGE
FAIDA CATERER BY PROFFESIONAL
HUSNA MAOHOLA, SHARIFFA KAVU & FRIEND
SALMA, MARIAM & SWEET MOTHER, THEY WILL NEVER FORGET YOU!!!!
SAKINA & SHANGAZI
ME AND MY SHOSTI SHARRIFA KAVU
ZULIANI
MAMA NA WATOTO
BROTHER & SISTER
MAMA NA MWANA
HELLEN & FATMA SIMBA- NGUO ZETU JOHA SIMBA DESIGNER 
KHADIJA, SAADA & HELLEN
HELLEN-NGUO DESIGN BY JOHA SIMBA +255 715 612 954
SHARRIFFA, JAMILA & AMINA
MAMA MREMA & FRIEND
SALMA & MARIAM, NGUO YA MARIAM DESIGN BY JOHA SIMBA +255 715 612 954
HUSNA, SHARIFFA & FRIEND
SHARRIFA & HELLEN
SIE HAO

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

5 comments:

 1. kila la kheri sakina, da hellen ulitokelezea na kilemba mwaah.

  ReplyDelete
 2. JAMANI BI HARUSI MASHAALLAH AMEPENDEZA SANA HONGERA ZAKE LAKINI NA UZURI UNACHANGIA SHOGER YANGU WEWEEEEEEEEE UKAWE MKE MWEMA SHOST.

  ReplyDelete
 3. Jamani wadau wanaojua viatu hasa viatu vizuri kwa harusi tujuzane pls ukitoa duka la viatuz.

  ReplyDelete
 4. Hongera na Khila la Heri Katika Ndoa Yako..... Karibu katika chama chetu cha wanandoa.... Abdul Shamba

  ReplyDelete
 5. Watu wote wanaangaa. Kweli uzee mwisho chalinze

  ReplyDelete