INNA LILLAHI WA INNA ILAYHI RAJI'UN-ISMAIL MAPUSA MNTAMBO!!!

 POLE FAMILIA YA SALMA MNTAMBO KWA KUONDOKEWA NA KIPENZI ISMAIL, POLE SANA SANA SALMA MNTAMBO KWA KUFIWA NA KIJANA WAKO, MWENYEZI AILAZE ROHO TA MAREHEMU PEMA PEPONI

SALMA MNTAMBO AKIWA NA MTOTO WAKE ISMAIL SIKU ALIPOFUNGA NDOA

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

10 comments:

 1. inna lillahi waina ilayhi rajiun. Mwenyezi mungu awafanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu mama salma mtambo pamoja na da Mariam. Poleni sana wapendwa.

  ReplyDelete
 2. INNAH LILLAH WAINALLILLAH RAJUUN MASIKINI HARUSI YAKE TULIIONA HAPA HATA SI SIKU NYINGI SANA KAZI MOLA HAINA MAKOSA SIKU ZIKIFIKA HAZINA DAWA.
  MWENYEZIMUNGU AWAPE ROHO ZA SUBRA WAFIWA.

  ReplyDelete
 3. INNA LILLAHI WA INNA ILAYHI WAJIUN - Pole mama, lia ukimuombea kaka etu mungu amlaze pema poponi - Amina.

  ReplyDelete
 4. Mola amweke pema peponi .kijana mdogo .Mungu akupe Imani mama na amoe imani mke wa marehemu .Hakuna atayebali ila Allah.
  Innalillah wainailaih raajuun

  ReplyDelete
 5. Inalilah waina ilaihi rajiuun mungu awape imani ndugu na wazazi wa marehemu amiiin

  ReplyDelete
 6. mtajibebah@muke ya masaiFebruary 9, 2014 at 8:18 AM

  INNAH LILLAH WAINALLILLAH RAJUUN MASIKINI ISMAIL JAMANIIII JUZI TU TUMETOKA KUONA PICHA ZA HARUC YAKE HAPA JAMANIII MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONIII POLENIII SANA WAFIWA JAMANIIII BADO MDOGO MASKINI NAKUMBUKA MBEZI ALIKUWA MDOGO WANGU HUYU JAMANIIIIII POLE SANA FAMILIA YA MAREHEMU ISMAIL DAH IMENISIKITISHA NA KUNIUMIZA JAMANIII SEMA KAZI YAKE MOLA HAINA MAKOSAA.....!!!!

  ReplyDelete
 7. Inha lilah waihna ilaihi rajiuun. kweli umati ni wetu wanadamu. mshikaji gently, mtanashati aliyefanikiwa kuwa na mke mrembo hatunae tena kwenye hii dunia. POLE SANA NDUGU NA JAMAA KWA PIGO LILILOKUKUTENI. R. I. P BRO.

  ReplyDelete
 8. INNALILLAHI WAINA ILLAYHRAJIUN

  ReplyDelete
 9. Sote ni wake Allah na kwake pia ndio marejeo yetu. Poleni sana mama na mke wa marehemu na familia yote na pia wote walioguswa na msiba huu. Hakika ni ngumu sana lakini in shaa Allah Mola wetu Kareem atawapa subra

  ReplyDelete
 10. masikini jamani poleni kwa wafiwa nilimfahamu sana mama yake mzazi lakini kwa bahati mbaya na yeye pia ameshakufa hakuna budi kusema kila nafsi itaonya umauti lakini ana mama yake mkubwa huyo yupo morogoro yeye ni nurse ni mwanga huyo mchawi wa kupitiliza jamani na ana roho mbaya sijapata kuona

  ReplyDelete