ESHE's SINGO!!!!

YAP NI SINGO YA ESHE ILIYOFANYIKA , NIMEPENDAJE SWAGGA YAKE, MAMBO KAMA KAWAIDA PENDEZA, COLORFULL SARE ILIYOGARISHA, WANACHAMA WA SUBIRA GROUP WALIGARARE KWA KUMTUNZA NA KUMFUTA JASHO MWANACHAMA MWENZAO....!!!

BURUDANI
USTAADHI AKITUPA RAHA NA RAHA ORIGINAL....!!!
ZAWADI
ALIANZA MAMA NA FAMILIA YAKE KUTOA ZAWADI
KIBIBI AKIMKABIDHI BINTI YAKE VYOMBO VYA JIKONI
KISHA WAKAMKABIDHI COOKER
SOMO AKIENDA MTUNZA MWARI WAKE
SANDUKU LA SOMO
SOMO AKIMFUTA JASHO KIBIBI
MAMA MZAZI WA ESHE KIBIBI NI MWANACHAMA WA SUBIRA GROUP, WANACHAMA WENZAKE WAKIFANYA YAO...!!!
SUBIRA GROUP WAKIKABIDHI WASHING MASHINE
SUBIRA GROUP WAKIMFUTA JASHO KIBIBI
RAHMA KISMAT ALIANZA NA BI ARUSI ESHE KUMPA ZAWADI ZAKE
WATER DESPENSER
SUBIRA GROUP WAKIMSINDIKIZA MWANA GROUP MWENZAO
RAHMA KISMAT NA MKWEWE
RAHMA KISMAT AKIWAKOSHA MABIBI KWANZA
KIBIBI AKIFUTWA JASHO NA RAHMA KISMAT
RAHMA KISMAT AKIENDA MTUNZA MAMA WA BI ARUSI KIBIBI, MIMI BINAFSI NAMJUA RAHMA KISMAT, YEYE AKITUNZA ANATUNZA KIKWELIKWELI NA WALA KUSASAMBUA SI MTINDI WAKE, ZAWADI ZAKE ZIMEFUNGWA VIZURI...!!! I LOVE THAT!!!
HAKUISHIA RAHMA KISMAT.....!!!
KISHA AKAMKABIDHI DIRA LENYE NAKSHI NAKSHI ZA PESA
BIBI AKIFUTWA JASHO
SANDUKU LA MADADA LIKISASAMBULIWA
KIBIBI KAKOSHWA NA MADOLLAR
KIBIBI NA NDUGU ZAKE WAKIENDA KUWATUNZA MABIBI
NYUSO
MAMA SANJU NA MABINTI ZAKE & ESHE
MARIAM MKWECHE & FRIEND
HASINA MOO
MASHOSTITO WA SUBIRA GROUP
FATMA GESANI & FRIEND
WIAM, FATHIYA & MARIAM
SANJU FAMILY
MAMA MZAA CHEMA KIBIBI
FATHIYA & FREIND
KIBIBI MAMA MZAA CHEMA, ESHE & RAHMA KISMAT
FATMA HASSANOL
MUKE YA DR TAMBA ARAFA  & FRIEND
RAHMA KISMAT
HASINA & ASYIA
RED CARPET


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment