DSM OCCASIONS LTD DUKA JIPYA!!!

 
HAYA HAYA WADAU ULE MSIMU WA VALENTINE NDIO UMEANZA NAMI NAWATAMBULISHA DUKA JIPYA KABISA KWA AJILI YA ZAWADI MBALIMBALI HASWA ZA VALENTINE, HAWA NI KIBOKO BWANA MIMI NAZUNGUMZIA QUALITY YA VITU VYAO IKO JUU, KUBWA JINGINE WANAFANYA DELIVERY YA VITU VYAO, HATA WEWE ULIYENUNUA NA UNATAKA ZAWADI IPELEKWE WAPI SIKU HIYO YA VALENTINE, WANAFANYA ARRANGEMENT YA FRESH FLOWERS, PIA KUNA ZAWADI AMBAZO ZIMEFUNGWA TAYARI, CARD NZURI ZENYE MANENO MATAMU, USICHELEWE WAHI SASA!!! ZAMA NDANI KUONA ZAIDI

WANAPATIKANA::DAR FREE MARKET BUILDING
ALI HASSAN MWINYI ROAD OSTERBAY

MAWASILIANO:: +255 755 412 863\716 035 048\712 406 564

 ZAWADI ZILIZOFUNGWA TAYARI AINA TOFAUTI ZIKO NON ALCOHOLIC & ALCOHOLIC  
 VALENTINE DAY TEDDY BEAR INAPATIKANA DSM OCCASIONS 
VALENTINE CARD 

ZAWADI ZA UKWEE'E AMBAZO TAYARI ZIMEFUNGWA, ORIGINAL PERFUME WATEMBELEE DSM OCCASIONS WANAFANYA DELIVERY KOKOTE HAPA DAR ES SALAAM
NEW CRYSTAL NIGHT
 ETERNAL NIGHT PERFUME
 TOP MODEL PERFUME
 FANTASY BRITNEY SPEARS PERFUME 
5TH AVENUE PERFUME 
FRESH FLOWERS ARRANGEMENT, HASWA KIPINDI HIKI CHA VALENTINE WANAFANYA DELIVERY KWA YULE UMTAKAYE APELEKEWE 
MAUA YA KUPAMBA NYUMBA YAKO AINA TOFAUTI
CANDLE HOLDERS
UNAONA QUALITY INAVYOJIONYESHA 
FLOWER VERSES
CRYSTAL GLASS
 CANDLES
 WATER CANDLE RANGI TOFAUTI
 NATURAL HOME REFRESHER 
 TISSUE ZENYE RANGI MBALIMBALI NA QULAITY NZURI ZINAPATIKA DUKANI KWA BEI POA...!!! KWA WATARAJIWA MNAJIPATIA HAPA KWA BEI POA
WRAPPING PAPER ZA HALLMARK ZINAPATIKANA DAR OCCASSIONS
 GIFT BOX, ZILIZO NA NAKSHI NAKSHI TOFAUTI ZINAPATIKANA DSM OCCASIONS 
GIFT BASKET, YAP HATA KAMA WEWE UNA ZAWADI ZAKO NA UNATAKA KUZIFUNGA, UKIFIKA DSM OCCASIONS  UTAPATA KIKAPU CHA KUFUNGIA ZAWADI
 FRAME YA PINK NI KWA WATOTO WA KIKE
WEDDING PHOTO FRAMES, DAR OCCASIONS WANAZO PHOTO FARME ZA AINA ZOTE BRIDE  & FROOM FRAMES

 DECORATIVE HOUSEHOLD ITEMS
 PICHA ZA UKUTANI, DSM OCCASIONS WAO NI WATAALAM WA INTERIOR DESIGN UKIFIKA DUKANI UTAPATA USHAURI PICHA SEHEMU GANI INAPASWA IKAE 
DECOR ITEMS KWA WAPAMBAJI
 GIFT PAPER QUALITY NZURI AINA MBALIMBALI KWA RANGI UPENDAYO
MUONEKANO WA  DSM OCCASIONS!!!

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

8 comments:

 1. Duuh pesa inaongea tu hapo. Tunashukuru mashughuli kwa kutujuza vitu vizuri.

  ReplyDelete
 2. tuandikieni na bei

  ReplyDelete
 3. hongereni sana vitu ni vizuri, tunaomba tuwekeeni na bei, hs vessel na maua yake

  ReplyDelete
 4. Dahhh vitu ni vizuri sana, tuandikieni na bei basi, tuje mapema

  ReplyDelete
 5. Powa sana jamani, etiiii ehee, haya tujuzeni bei nasi tujuwe

  ReplyDelete
 6. vitu viko poa sana jamani, kweli kama walivyosema wadau waliotangulia tuandikie na bei

  ReplyDelete
 7. Sorry mnauza kwa jumla pia nipo mkoani

  ReplyDelete