AWADH SAEWAD BIRTHDAY!!!

YAP NI MAHABA MAHABANI YA HASINA NA AWADH NI KASUPRISE PARTY ALICHOANDALIWA AWADH NA MKE WAKE PAMOJA NA WAPENZI WAKE NYUMBANI HUKU RAHA ORIGINAL BWANA USTAADH AKITUPA RAHA ILINOGAJE SI UNAJUA ZILE ZISIZORASMI ZINAVYONOGA....!!!!

 BIRTHDAY CAKE...!!!
TOKA KWA MKE KIPENZI WA ROHO YAKE, BWANA AWADH YEYE NI SHABIKI WA BARCELONA NA LIVERPOOL!!! TIMU SI KABILA WAKIFNGWA SANA UNAHAMA...!!!
TOKA KWA SHEM WA UKWEE'E ESHE
 MAMBO YALIKUWA HIVI........!!! NI KUMSHOWER TU....!!!!
BONGO MOVIE STAR RIYAMMA AKILISHWA CAKE
 SIE HAO TUKIPATA CAKE
ZUNGULONDON I SOLUTE YOU BRODA!!!
 THE ONE & ONLY WITH AFRICAN-STYLE!!! NASSIR MMOKO
 NASSIR NEW BLOGGER IN TOWN.....!!!
 BAMKWE AKILISHWA KEKI

BURUDANI
 RAHA ORIGINAL WAKITUPA RAHA

 SALIM UMETUWACHA MIDOMO WAZI DUUU!!! UNAJUAJE HADI KUGHANI "WATAKA TENA ZABIBU UMEKUMBUKA UTAMU EEH!!!!"
NYUSO
RIYAMMA, ESHE & FRIEND 
NASSIR, AWADH, SALIM, ESHE & GAMSH
MOO CHAKA
FRIENDS FAMILY WAKIWAKILISHA
HASINA NA MUME WAKE DEKA...!!! EEH
BONGO MOVIE SUPER STAR ESHE, AWADH & SALIM
SALIM, AWADH, GAMSH & ZUNGULONDON
NASSIR & AWADH
FULL KAMPANI
ESHE & NASSIR
NURU & KAKA ZAKE
NICE ONE ESHE & SALIM
MIE HUYO NIKIPEWA USUPERSTAR NA MDOGO WANGU ESHE

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

4 comments:

 1. mashughuli hebu cheka kidogo cku zote unanuna na umekalia unabonge la tabasamu

  ReplyDelete
 2. Haya shughuli imependeza, ingawa Bibie amezidisha kidogo!! mahaba. Naomba kujua huyo MOO CHAKA ni aunt au? maana kajipodoa masha-allah ki-aunt aunt

  ReplyDelete
 3. Birthday poa. Nyote mmependeza kwa kiasi chenu.

  ReplyDelete
 4. naona style ya mahaba niue....mahaba niteketezee.
  ila ile kiss punguza kidogo kuna watoto wanaingia humu...

  ReplyDelete