USIKU WA ZAWADI SHARIFFA MADENGE!!!!

YAP HUU NI USIKU WA ZAWADI WA SHARIFFA MADENGE, HII SHEREHE YA KUMTOA NDANI BAADA YA UZAZI, USISHANGAE MDAU NI WENYE PESA ZAO FAMILIA YA MADENGE, HAPANA CHEZEYA MOODY MADENGE VINYWAJI VYA KUMWAGA, MASTAA KATIKA TASNIA YA TAARAB ISHA MASHAUZI NA BENDI YAKE YA MASHAUZI CLASSIC & KHADIJA YUSUF NDANI, ZAMA NDANI KUJIONEA

MC
JAMILA KITIMTIM
SHARIFFA AKITOLEWA NJE NA MAMA MKWE 
 DECOR.....///
BURUDANI
LIVE BAND YA MASHAUZI CLASSIC
MAMA NATAKA BAIKOKO MIE, NDIO MWANANGU KOKO....
RUSHA ROHO YA MC JAMILA KITIMTIM
ISHA MASHAUZI AKIIMBA FULL MZUKA
ISHA AKIIMBA NA MDOGO WAKE
TIKISA NYONYO CHEZEYA ISHA ANA MZUKA WA FAN WAKE
KHADIJA AKIIMBA
SHARRIFA MADENGE AKIFUTWA JASHO
SHARIFFA AKITUNZWA
MAMA MADENGE AKIMTUNZA MKWEWE
MTU NA MKWEWE
UNARINGAJE SHARIFFA KWA KUPENDWA...!! 
LAZIMA NIKUNG'ARISHE MKWE WANGU...!! HERENI ZA DHAHABU
MAMKWE AKIPONGEZWA
MAMA MZAZI AKIMTUNZA BINTI YAKE
AKIMKOSHA KWANZA KWA HELAAAA!!!
MAMA MZAZI AKIMGARISHA BINTI YAKE KWA MADINI
AKAMVISHA MKUFU WA DHAHABU....... MADINI MADINI
AKAMVISHA MADINI PETE...!!!
SHARIFFA AKITAMBA EEH!!
MAMA NA MWANA
SHANGAZI AKIMTUNZA BINTI YAKE
HUSNA NA WASTARA MASHOSTITO WALIANZA NA SUPU
HII NDIO SUPU YA SHARIFFA...!! KALE USINENEPE SHARIFFA
WAKAMFUNIKA NA MIJIWAX
HUSNA NA WASTARA WAKIMPA ZAWADI ZA BABY YASER
KISHA AKAMKOSHA KWA HELAAAA
SHARIFFA, WASTARA & HUSNA
HADIJA AKIMTUNZA WIFIE SHARIFFA ANARUSHAJE ROHO SASA!!!
UMEMUONA EEH UKIMCHOKOZA TU UTAKOMA ATAKURUSHA UTAFUTE MSAE AU KILIMANJARO BASI URUDI HUKOOOO
HAPANA CHEZEYA HII MUTU SAIDA KANYAU KAMTUNZA SHARRIFA MILION MOJA FUNIKA WOTE....!!!!
SAIDA, SHARIFFA & FAIZA
SHARIFFA, HUSNA & ASHURA TEACHER WAKIENDA KUMTUNZA SHARIFFA MADENGE
WAKIFANYA YAO KWA RAHA ZAO
HUSNA MADOHORA TUPA PESA KULE KWA SHARIFFA
SHARIFA KAVU & ASHURA TEACHER WAKIMFUTA JASHO SHARIFFA MADENGE
MC JAMILA AKICHEZA PESA KWA WIFIE SHARIFFA
HUSNA NA WIFIE SHARIFFA
ISHA MASHAUZI AKIMKOSHA WIFIE SHARIFFA
ZUHURA AKIMFUTA JASHO SHARIFFA
ZUHURA NA FATMA WAKIMFUTA JASHO SHARIFFA
 MAMA MADENGE AKITUNZWA
HUYU BIBI ALINIFURAHISHA SANA YEYE WAKATI ANAMKOSHA MAMA MADENGE ALICHAGUA NYIMBO YA TUPOGO HUKU AKIIMBA YOTE
HUSNA WAZIR AKIMKOSHA MAMA
FATMA AKIMKOSHA MAMA
HUSNA MADENGE AKIFUTWA JASHO...!!!
CHAKULA
NYUSO
SAIDA & SEKI
WASTARA & FRIEND, KILA NIKIMUONA WASTARA NAKUMBUKA KITCHEN YAKE ALIPEWA ZAWADI ZA MAISHA, MIFUKO YA CEMENT & TILES NATUMAI NYUMBA IMEKWISHA
HUSNA WAZIRI, SHARIFFA KAVU, HUSNA MADOHORA & MC JAMILA KITIMTIM WA MUJINI HAO HAWAOGOPI LOLOTE..!!!
MY BEST COUPLE SAIDA & DAUDI
SHARIFFA NA MAMA ZAKE
HUSNA MADENGE WIFIE SHARIFFA HINA HIYO
TANISA & ZUHURA NYAUCHI
FAIZA & FADYA
MWAVITA
WIFIE HABIBA
FASHIONISTA FADYA ISAC
JASMINE AFUA
FATMA AFUA & HADIJA MNYIKA
ASHA TOM & FRIEND
MAMA MADENGE
MOODY & BAHIYA
FAIZA KANYAU
NANA KANYAU
RED CARPET
SWEET GAL FAIZA KANYAU
SHARIFFA & MAMA
MOODY & BAHIYA
HUSNA MADENE & FRIEND
 ISHA & JAMILA
MC JAMILA & SHARIFFA
 SAIDA KANYAU & FRIEND
HUSNA WAZIRI & WIFIYE
 HADIJA WEE HAPANA CHEZEYA
MARAFIKI A UKWEE'E NAWAPENDA SANA, UDUGU HAZINA YETU!!!


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

6 comments:

 1. hongera sana my w Kwa kutuletea baby YASER MADENGE na shughuli imependeza sana kwa kututoa out!! by west bungara.....

  ReplyDelete
 2. Hii blog inanikoshaga sana, haya mambo nayapendaga dada naomba niwe mdogo wako wa hiari ili tu uwe unanialika kwenye haya mambo tujuane kwa shida na raha. nafaya kazi ofisi flan. yaani kwa siku nisipoingia mashughuli sioni raha hata nisiandike chochote ila kuna majina ya watoto wa mujini yameshanikaa kichwani kupitia hii blogo kama sauda kanyau na mwengine kama Joha kabotoka kama sijakosea kuna yule wanamuita Kim Kadashian kuna yule dada wa kariakoo aliyekuwa amepotezana na mtoto wake lakini wakaja kuonana. Asante you make my day .

  ReplyDelete
 3. mbona tanti boy sijamuona jamani? Moudy si mdogo wake?

  ReplyDelete
 4. sophia utawezaaaa///??? umenifurahisha kumkubali shoga yangu wa ukweee kim kadashian, leta contanc uingizwe

  ReplyDelete
 5. mwambie kim kadashian nammisi kaenda wapi

  ReplyDelete
 6. Shoga, hivyo viatu vyao havinienei watoto wa mujini wako juuuuuuuuu nitabakia ushabiki tu but I realy love them wanainjoya kwakweli stress free .

  ReplyDelete