SINGO YA OTHUMAN @ COLUMBIA HOTEL!!!

YES TWAANZA NA SINGO KWANZA KUMSINGA KISHA TWAENDA KUOA, NI SINGO YA OTHUMAN A.K.A OCHU ILIYOFANYIKA HAPO COLUMBIA HOTEL, ALIANZA HASINA KUMSINGA BINAMU YAKE OCHU, KUMTAYARISHIA CHAI NZITO KISHA AKAMPELKA HOLINI...!!!

CHAI YA BWANA OCHU ILIYOTAYARISHWA NA HASINA MOO MUKE YA AWADHI SAEWAAD, HAPANA CHEZEYA HII MUTU HASINA MAMBO YANATISHA, HASINA ALIMSINGA BINAMU YAKE,OCHU
OCHU AKINYWA CHAI NA WENZAKE, CHAI NZITO HATARI, HAPANA CHEZEYA HASINA UKO JUUU
MFAUME LEO UMEINGIA MASHUGHULI, HAPANA CHEZEYA
OCHU AKIINGIA UKUMBINI NA WAPAMBE WAKE
 BWANA AWADH SAEWAD KAMFIKISHA SHEMEJI YAKE OCHU
 BWANA ARUSI OCHU AKIWA NA MPAMBE WAKE WA UKWEE'E SALIM MWAKICHUI NA NDUGU YAKE TAYARI KUINGIA UKUMBINI
HASINA AKUMUUINGIZA BINAMU YAKE OCHU, BAADA YA SINGO NA CHAI NYUMBANI KWAKE
 HASINA MOO MPAKA AFICHULIWE
AKAFICHULIWA...
OCHU AKIVISHWA KILEMBA
MAMA ZAKE WALIMVISHA KILEMBA MILA NA DESTURI ZA KWAO
DADA YAKE OCHU FATHIYA AKIMVISHA TAJI OCHU
FATHIYA NA KAKA YAKE
 HUG FROM MAMA
BI ZARO NA WATOTO WAKE
FANCY
HII NI SHOW YA KUSHEREHESHA SHUGHULI, HAWA NI WANAWAKE WANAVAA KIUME NA KUJIBADILISHA
BURUDANI
RAHA ORIGINAL LIVE BAND
MOCHAKA AKIMTUNZA HASINA MOO
MATUNZANO
BI ZARO AKIWAPA KITOKA UNYUMBA MABIBI
BIBIE LUMELEZI NA KUNDI LAKE
 DADA WAKIMTUNZA KAKA YAO OCHU
 BI ZARO AKITUNZWA NA KUFUTWA JASHO
DADA ZAKE BI ZARO WAKIMTUNZA
UNCLE PIA WALIMTUNZA
BI ZARO BAADA YA KUVISHWA TAJI LA PESA AKAMVISHA MWANAYE OCHU
 OCHU BAADA YA KUVISHWA TAJI LA PESA
 FATHIYA AKIFUTWA JASHO
 RAHMA KISMAT AKIMFUTA JASHO FATHIYA
RAHMA KISMATI NA KUNDI LAKE WAKIMTUNZA BI ZARO
 WIAM AKIMFUTA JASHO SHOSTITO FATHIYA SHURTI KWA KUIMBA LIVE
NYUSO
OCHU, MAMA NA UNCLE WAKE
JOHA KABOTOKA & FRIENDS
BI ZARO, RAHMA KISMAT & FRIEND
NAIMA, HIDAYA & FRIEND
OCHU, WIAM & FATHIYA
OCHU, FAHTIYA & MAMU
OCHU NA KAMPANI YA DADA YAKE FATHIYA
OCHU & MKEWE MKUBWA
 MAMA NA MWANA
 MAMU, OCHU & FATHIYA
 RAYA, MOCHAKA, HIDAYA & ASYIA
SALMA & FRIEND
 SHOSTITOS HASINA & WIAM
MAMU, RAYA & MOCHAKA
FATUMA GESANI, LAYLAT & FRIENDS
MAMU & RAYA
RAHMA KISMAT & MKWEWE
RAYA & FRIENDS
ASYIA & HIDAYA, MAMA YA MWANZA
OCHU NA WATOTO WA DADA ZAKE
OCHU NA BI ZARO MAMA MZAZI
RED CARPET
 HASINA MKE MKUBWA
SALIM MWAKICHUI MPAMBE WA OCHU...!!

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

12 comments:

 1. Big Up kwa hao wamama waliovaa kiume... nimecheka lol, looks like it was a fun day haswaa!!!!

  ReplyDelete
 2. Bi mdgo ni yupi sasa?

  ReplyDelete

 3. Zaro hongera sana my dear yaani umekuza siamini macho yangu kuwaona watoto wetu wamekuwa sana ndio furaha zetu.nimemuona samira nimefurahi sana natamani niwe nawapigia cm but sina #zenu samira na zaro jamani ninawakumbuka sana ,singo la Adabu hadi raha.mimi ASHURA BONTO mpenzi wenu wa miaka .Mashaallah mashaallah SINGO LA ADABU .......

  ReplyDelete
 4. Nimepnd fancy y ukwl mmejua kuichngmsha sherehe

  ReplyDelete
 5. jamani kusherehekea kote huko kumbe anaoa mke wa pili loo; sijapenda , lakina mtupe namba ya mpishi tumetamani sana anaonekana anajua kweli na vitamu , dada mashughuli tuandikie namba kama ulivyoandika ya saloon

  ReplyDelete
  Replies
  1. hujaelewa shosti mke mkubwa maana yake mke wa kwanza kuolewa kwenye familia sasa wewe shemeji yako si anakwita mke wake? umeolewa na ndugu yake?

   Delete
 6. Nimepnd saana hio fancy y kuvaa kiume imechngmsh vzr sherehee mambo km hayo adimu kuona kwny matukio km hayo, nakuona BUPE umetuna kwny warage hapo hutaki kuongea n mtu hehee

  ReplyDelete
 7. Bro hongera saana umetoka bomba, nasubri mambo y police mess

  ReplyDelete
 8. bi shamsa nakuona hpo ulivotoka kidoc

  ReplyDelete
 9. mtajibebah@muke ya masaiJanuary 9, 2014 at 2:53 PM

  wadau hapo juu kama hamjaelewa mie nilivyoelewa kwenye maelezo kuwa huyo hasina ni binamu yake ambae ni mke wa awadh angalieni juu mtaelewa vizuri maana kuna mwengine kwenye picha mashughuli kaandika mkewe mkubwa na chini hvhv kaandika ambao ni tofauti ina maana ana wake 2 kisha huyo anayetaka kuoa ni wa3?mambo ya ubinamu au labda wake wa kaka zake au wadogo pia si unaweza ita mke pia?nimependa hao waliojivisha kiume hehehehe kweli kusherehesha shughuli hahahahahaha nimechekajeee wametisha jamaniiii

  ReplyDelete
 10. Hongereni sana tena sana, sherehe imependeza mno, Fathiya my class mate, Mwambao Primary School Bagamoyo miss you sanaaaa jamani. All the Best Othman

  ReplyDelete
 11. Na mijitu mingine bwana kama huelewi si uulize kwanza, unaanza kuponda tu Oooh mke wa pili or what, Kama mjanja soma toka mwanzo, shughuli kafanyiwa na Binamu yake Hasina, ambaye kwa Kitanzania ni Mke wa asili, anaenda oa ndoa ya kwanza, kujifanya mnajua kila kitu lo! mmekaa kutamani kuponda ponda tu.

  ReplyDelete