RAYA's KITCHEN PARTY!!!!

BRIDE                      ::RAYA RAMADHANI
EVENT                      :: KITCHEN PARTY
VENUE                      ::KWALALUMPA HALL
COLOR                     ::PINK & YELLOW
CAKE                         ::HAPPINESS CAKE
MAKEUP                   ::MAZNAT
MC                             ::JAMILA KITIMTIM -+255 655 374 440
NI KITCHEN PARTY YA BINTI MREMBO RAYA, ILIYOPAMBWA NA RANGI ZA YELLOW N PINK, RAYA BINTI MWENYE TABASAMU ALIPENDEZA SANA, SHUGHULI IKIWA IMECHANGAMKA NA ZAWADI ZA UKWEE'E, MC JAMILA ALIITENDEA HAKI KUTUOONGOZA IPASAVYO..!!! ZAMA NDAINI UJIONEE

360 CAMERA TO QUEEN!!!! 
 SWAGGA
RAYA AKIINGIA
MC JAMILA KITMTIM
MAMA MZAZI WA RAYA AKIKARIBISHA WAGENI
RAYA AKIFICHULIWA...!!!
WIFI WAKIMFICHUA WIFI YAO KWA MADOLLAR
DECOR...///
CAKE
CHAMPAGNE
BURUDANI
ZAWADI
ALIANZA MAMA KUPELEKA KAPU LA MAMA
           MAMA AKIENDA KUMPA BINTI YAKE ZAWADI
HONGERA MAMA...!!!
MAMA NA MWANA
ODO ZULFA AKIENDA KUMTUNZA BINTI YAKE
MAMA NA MWANA
ODO ZULFA AKITUNZWA
SOMO AKIENDA MTUNZA MWARI WAKE
SOMO NA PAMBE YAKE
RAYA MA SOMO YAKE MAMA SELE
MAMA AKITUNZWA
WANACHUO WENZAKE RAYA WAKIENDA MFUTA JASHO RAYA
WANAFUNZI WALIMKOSHA MAMA PIA
SHANGAZI AKIMPA ZAWADI
WAFANYAKAZI WENZAKE RAYA WAKIMPA ZAWADI
WADOGO ZAKE RAYA WAKIENDA KUMPA DADA YAO ZAWADI
WALIANZA KUMPA SHOE RACK
KISHA WAKAKABIDHI KABATI
HAPANA CHEZEYA WADOGO WA MUJINI ZAWADI KA ZA WAKUBWA...!!!
TIFFAH AKIPELEKA ZAWADI YA SHOSTI WAKE RAYA
TIFFAH KASEMBO & RAYA
MILLIONAIRE LADIES, NDIVYO WANAVYJIITA!!! 
WAKIONGOZWA NA MAYA KWENDA KUMPA ZAWADI RAYA
AKIKABIDHIWA DRESSING TABLE YA PILI
BIBI TOKA TABORA....
FAMILIA YA OKASH WAKWE WAKIPELEKA ZAWADI YAO KWA RAYA
MAMA MKWE AKITUPA SALAM TOKA MTAA WA PANGANI ARUSHA
ASHURA NA RAYA WALIMPA MAMA ZAWADI YA MADINI, MKUFU NA HERENI...!!!!
WAKIMVISHA MAMA YAO KIPENZI
RAYA NA MDOGO WAKE ASHURA
SOMO AKIFUTWA JASHO ...!!!
SOMO AKITUNZWA NA KUFUTWA JASHO NA MAMA MZAZI
WANAKAMATI 
KAMATI WAKIKABIDHI ZAWADI ZAO KWA RAYA
CHAKULA
NYUSO
WIFI ZAKE RAYA PENDEZA OKASH ARUSHA MTAA YA PANGANI
MAMA MZAA CHEMA
SOMO YAKE RAYA MAMA SELE & FRIEND
ANNA, RADE & FRIEND
EVODIA & FRIEND
AMINA & FRIENDS
PERPETUA, DOREEN & FIREND
MAMA MZAZI NA MABINTI ZAKE
RADE, RAYA & AMINA
MEZA YA CHUO CBE
RAYA, MAMA MZAZI  & MAMA OKASH MKWEWE
TIFFAH & SHOSTI WAKE RAYA
SOMO WA UKWEE'E MAMA SELE
PAMBE YA SOMO MAMA SELE, HAPANA CHEZEYA
RED CARPET

EVODIA

LATIFA KASEMBO
PERPETUA
NANCY & FLORA
LATIFA & ASHURA
MARIAM & RADE
AMINA, LATIFA, ANNA & RADE
AMINA, LATIFA KASEMBO & RADE
RADE, AMINA, ANNA & DOREEN
FORMER CBE STUDENT
BEAUTIFUL GIRL

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

3 comments:

  1. Pendeza Raya mamaa ya TRA, kila kheir incharge

    ReplyDelete
  2. Jamani Raya kiukweli ulipendeza hongera sana nesa

    ReplyDelete
  3. Raya hongera sana mwenyezi mungu akujalie kila la heri katika ndoa yako. umependeza sana

    ReplyDelete