NICODEMUS & JENNY RECEPTION WEDDING!!!!!

BRIDE                      ::JENNY CHARO
GROOM                   ::NICODEMUS RWIHULA
EVENT                      ::WEDDING RECEPTION
VENUE                      ::MIRADO HALL
BRIDAL MAKEUP  ::MAZNAT
COLOR                     ::ROYAL BLUE & SILVER
CAKE                        ::MONICA MAKUNDI
YES NI ROYAL BLUE & SILVER RECEPRTION WEDDING YA JENNY NA NICODEMUS, WADAU SIMPLE IS EXPENSIVE EEH!! HAYA MAMBO YAKO POA SANA, HAKUNA MICHOSHO ILE INAYOBOA KWENYE ARUSI HAPANA CHEZEYA WADADA WAMJINI WALINOGAJE NA ROYAL BLUE TISHAAA, NGUO ZA UKWEE’E ZAMA NDANI KUONA ZAIDI....!!!!

MAARUSI WAKIINGIA UKUMBINI
WAPAMBE WALIANZA KUINGIA KWA KUCHEZA
MATRON NA PATRON WAKIINGIA UKUMBINI
JENNY NA NICODEMUS WAKAINGIA
WADADA WA UKWEE'E WAKIINGIA UKUMBINI 
DECOR...//
CAKE
 CHAMPAGNE
BURUDANI
MAARUSI WAKIFUNGUA MZIKI
KIGUGUMIZI...!!!
KWAITO
NGOMA YA NYUMBANI
HONGERA NA ZAWADI
WANAKAMATI WAKIPELEKA ZAWADI YAO
M-KITI AKIKABIDHI ZAWADI YA KAMATI
 
 DADA WAKIPELEKA ZAWADI
NICODEMUS AKIWA NA VAZI LA KIMILA
 GRACE AKITUNZWA 
GRACE AKIFUTWA JASHO NA MASHOSTITO
CHAKULA
NYUSO
GRACE, DADA YAKE BWANA ARUSI & FRIEND
REMINA & FRIEND
 GRACE PENDEZA SANA DADA WA NICODEMUS
POZI EEH!!
RED CARPET
GRACE YOU ROCK!!!
 REMINA HOT HOT
BOSSLADY LILIAN KARAMUNA HAPANA CHEZEYA!!!
MISHY PENDEZA SANA
MISHY & BOSSY LADY LILIAN KARAMUNA
MISHY & REMINA
KARAMUNA's
CHEZEYA WA MUJINI WEWE!!!
SWAGGA
Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

3 comments:

  1. HARUSI IMEPENDEZAJEEEEEEEEEEEEEEEE? WAALIKWA MAKEUP ZAO SASA ZIMEFANANAJEEEEEEEEE NA NGOZI ZAOOOOOO PENDEZA SANA KIUKWELI UTAFIKIRI ALIYEWAPAKA NI MMOJA.

    ReplyDelete
  2. Hongera Nico, Lilly, Grace na kaka mkubwa. Mmependeza mno na harusi ilikuwa classy....ex Ilala flats member

    ReplyDelete