Sponsor

MAULID YA YASEER MOHAMED MADENGE!!!

4:36:00 PM

TULIANZA NA USIKU WA WAZADI WA SHARIFFA MADENGE MAMA YAKE YASEER NA SALIM, SASA NI MAULID YA YASEER, HAPANA CHEZEYA HII FAMILIA WANA UMOJA WA HALI JUU, HAYA NI MAULID YASEER AKITOLEWA NJE SHABA ZA UKWEE'E MPAKA WAALIKWA WABEBA CHAKULA.....!!!!

SIJUI WANASHANGAA NINI??
SALIM & YASEER
FAMILIA IMEKUA MASHALLAH!! MOODY, MKEWE SHARIFFA NA WATOTO SALIM & YASEER
MOODY NA MKEWE SHARIFFA
QASWIDA & MAULID
HUSNA BADO ANATUNZWA HAPANA CHEZEYE WII WA UKWEE'E
YASER AKITOLEWA NJE
BABU MZEE MADENGE AKIMTOA NJE MJUKUU WAKE YASEER
BIBI MZAA MAMA AKIMTEMBEZA YASEER
CHAKULA
SHABA KAMA 10 HIVI BIRIAN LA PILA
NYUSO
HUSNA
FATMA
SHARIFFA, HUSNA & FATMA
SHARIFFA NA WIFIE HUSNA
MAMA MADENGE BIBI YAKE SALIM NA YASEER

RED CARPET




You Might Also Like

4 comments

  1. Masha-Allah Mwenyezi Mungu awaongoze malezi mema na maisha mema

    ReplyDelete
  2. Hongera shughuli nzuri, InshaAllah mola atukuzie wanao na ailinde ndoa yenu. Wapi Tanti boy!

    ReplyDelete
  3. MASHALLAH NA HONGERA SANA SHUGHULI IMEPENDEZA SANA..! INSHALLAH M.MUNGU AWAKUZE WANAO MAKUZI MEMA......... ARAFA MUSHI

    ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.