KIBAO KATA CHA FATMA NDOVU!!!

YAP NI KATIKA KUSHEREKEA NDOA YA NDUGU YAO FATMA NDOVU ILIYOFANYIKA HOLLAND, NDUGU ZAKE WANAFAMILIA YA NDOVU HAPA DAR ES SALAAM, WALIANDAA KIBAO KATA MITAA YA TANDALE KWA BI CAT (NYAU) CHA KUSHEREKEA NDOA YA NDUGU, HAPANA CHEZEYA NDOVU WAKO JUUU..!!!

 SHARIFFA HASHIM NA MKWEWE PENDO
 JAMILA KITMTIM & SHOSTITO 
SALAMA MIND & FRIEND
REHEMA, SHARIFA & FRIEND
FAMILIA YA NDOVU 
SALAMA & MUNA MINDU
REHEMA SUNDAY & FRIEND
BURUDANI
WANA WA KIBAO KATA WAKITOA BURUDANI
 SHARIFFA MINDU AKICHEZA
 MC JAMILA AKIFANYA VITU VYAKE
 JAMILA KAVU MPAKA CHINI UKO JUU
 HAPANA CHEZEYA MUNA MINDU & PENDO
RED CARPET

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

2 comments:

  1. kwa raha zenu ila sijapenda Da jamila ulivyovaa hupendezi hizo nguo.

    ReplyDelete
  2. Na huyo mtoto mdogo anafanya nini hapo kwenye kibao kata.

    ReplyDelete