KHADIJA's ISLAMIC KITCHEN PARTY!!!

BRIDE                       ::KHADIJA
EVENT                      ::ISLAMIC KITCHEN PARTY
VENUE                      ::MBEZI BEACH MR & MRS RESIDENCE
COLOR                     ::PINK & SILVER
CAKE                        ::MANZI BAKERY-+255 713 248 153

CATARER                ::MANZI CATERER - -+255 713 248 153
ISLAMIC KITCHEN PARTY YA KHADIJA ILIYOFANYIKA MBEZI BEACH MJENGONI KWA MAMA MANZI, KAMA KAWAIDA MWENDO MDUNDO WA KUSHEREHESHA SHUGHULI QASWIDA....!!!!!

KHADIJA AKIINGIA
 MWANANA MANZI, MOTHER HOUSE AKIKARIBISHA WAGENI
MC
DECOR...///
MJENGO WA MR & MRS MANZI...!!!
CAKE
 KHADIJA AKIKATA KEKI
 MAMA MZAZI WAKILISHANA KEKI NA BINTI YAKE
 
 MAMA MKUBWA AKILISHWA KEKI
BIBI AKILISHWA KEKI
 
 MAMA MKWE AKILISHWA KEKI NA MKWEWE
KHADIJA NA MAMA MKWE WAKE
BURUDANI
MADRASSATUL KIGAMBONI
MADRASSATUL TEMEKE
ZAWADI
 MAMA AKIMTUNZA BINTI YAKE
 ZAWADI A MAMA MANZI KWA KHADIJA
 MAMA MANZI AKIMPA KHADIJA ZAWADI ZAKE
 
 MAMA MANZI AKIMKABIDHI KHADIJA COOKER NA SET ZA VYOMBO
MAMA MANZI AKIKABIDHI SANDUKU
SOMO AKIMTUNZA MWARI WAKE
 MAMA AKITUNZWA
 MAMA MANZI AKITUNZA NA MARAFIKI ZAKE
MAMA MANZI AKIMTUNZA MDOGO WAKE KWA KHANGA NA VITENGE
 KISHA MAMA MANZI AKAMKOSHA MDOGO WA DOLLAR, HAPANA CHEZEYA
 MADOLLAR
 MAMA MZAZI AKIMTUNZA BIBI YAKE KHADIJA
CHAKULA
MZEE MANZI PAMOJA NA MAARUSI
I LOVE THIS SITING ROOM
NYUSO
MRS. MANZI, MRS MATIMBWA & FRIEND
MOTHER HOUSE MWANANA MANZI
MAMA MANZI NA MDOGO WAKE MAMA KHADIJA
FATMA NA MKWEWE
RED CARPET

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

7 comments:

 1. mashallah harus nzuri mmejitahid kujistiri

  ReplyDelete
 2. sana, mjengo huo si mchezo hongera mrs. manzi

  ReplyDelete
 3. Nguo NZURI ya bi harusi nimeipenda

  ReplyDelete
 4. hapana chezea huo mjengo ni nomaaaaa

  ReplyDelete
 5. Mashallah harusi imependeza sana, bi harusi hongera kwa kupat wazazi wenye msimamo wa dini.

  ReplyDelete
 6. mashallah bi harusi umependeza sana.

  ReplyDelete