ISHA RAMADHANI AKANUSHA HANA MAHUSIANO YOYOTE NA ACCOUNT YA FACEBOOK YENYE JINA LA ISHA MASHAUZI!!!

ISHA AKIONGEA NA SIMU NA MASHUGHULIBLOG NA KUKANUSHA KATA KATA KUWA HAUSIKI NA HIYO MIKOPO WALA YEYE HAJAKOPA HUKO NA HIYO ACCOUNT YA FACEBOOK YENYE JINA LAKE NA PICHA YAKE INAYOWAHAMASISHA WANANICHI KWENDA KUKOPA SI ACCOUNT YAKE...!!! ANAWAOMBA WANANCHI KUFANYA UCHUNGUZI ZAIDI....!!!! TEMBELEA WEBSITE YAO BONYEZA LINK TANZANIALOAN

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

2 comments:

  1. hallow Mashughuli.....
    naomba unifahamishe au kupitia Isha Mashauzi atujulishe ofisi za hawa Tanzania Loan ziko wapi?

    ReplyDelete
  2. jamani ndugu zangu kuwe macho na hiyo mikopo hewa hao ni matapeli hakuna cha mkopo wala nini ni wapi na nilini dunia ya leo mtu au taasisi au shirika litakubali mtu yeyote akopeshwe pesa pasipo kuonyesha dhamana ya mali zake eti utume docmenti zako account ya benk utume elfu themanini kwa nia ya mpesa kwa nini usionde kuonana nao ana kwa ana face to face ktk ofisi yao wadanganye wajinga ndio waliwao utapeliiii mtupu sidanganyiki na wala sitapeliki

    ReplyDelete