FLAVIAN MATATA FOUNDATION​S #FMF::BACK 2 SCHOOL PROJECT ILIVYOKUWA...!!!

 MRADI WA FLAVIANA MATATA FOUNDATION WA BACK TO SCHOOL PROJECT ULIOFADHILIWA NA MFUKO WA PENSHENI PSPF ILIYOMALIZIKA WIKI ILIYOPITA ULIVYOENDA ALIANZIA KISARAWE KATIKA SHULE YA MSINGI YA CHANZIGE B NA KISHA SHULE YA MSINGI YA KIMANZICHANA ILIYOPO WILAYA YA MKURANGA NA SHULE YA MSINGI MSINUNE ILIYOKO WILAYA YA BAGAMOYO
SHUKRAN ZA PEKEE KWA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF NA KUUNGANA NA FLAVIANA MATATA FOUNDATION NA KUSAIDIA VIFAA HIVI KWA WANAFUNZI 1000 KWA KUANZIA KUNA VINGINE VITAPELEKWA MIKOANI, TUTAENDELEA KUHABARISHANA HAPAHAPA, NA ZOEZI HILI NI ZOEZI ENDELEFU, NDIO MAANA TUNAKARIBISHA WADAU TUFAUTI TOFAUTI, KUHAKIKISHA WANAFUNZI HAWA WANAFIKIA MALENGO NA KULETA MABADILIKO KATIKA TAIFA
Flavian matata foundation-kisarawe (21 of 152)
Flavian matata foundation-kisarawe (13 of 152)
HAPA ILIKUWA KWA AFISA ELIMU WA WILAYA YA KISARAWEFlavian matata foundation-kisarawe (17 of 152)
HAWA KIKEKE AFISA MAWASILIANO KUTOKA PSPF AKIFAFANUA JAMBOFlavian matata foundation-kisarawe (19 of 152)
 ITIFAKI ILIZINGATIWA KILA ALIKOPITA ILIBIDI ASAINI DAFTARI ILI KUTAMBUA UWEPO WAKE
Flavian matata foundation-kisarawe (28 of 152)
Flavian matata foundation-kisarawe (33 of 152)
AHSANTE KWA KUTUPOKEAFlavian matata foundation-kisarawe (34 of 152)Flavian matata foundation-kisarawe (39 of 152)
MENEJA WA KANDA YA PWANI NAE ALIPATA FURSA YA KUMPA ZAWADI YA MWAKA MPYA
Flavian matata foundation-kisarawe (40 of 152)
TUKAFIKA CHANZIGE B SHULE YA MSINGI ILIYOPO WILAYA YA KISARAWE
Flavian matata foundation-kisarawe (52 of 152) Flavian matata foundation-kisarawe (53 of 152) Flavian matata foundation-kisarawe (59 of 152)
SAMBAMBA NA MKUU WASHULE YA MSINGI CHANZIGE B ISAAC ELIAH, ALIFURAHISHWA NA UJIO HUU SABABU ANAMTAMBUA NA ANAMFUATILIA FLAVIANA MATATA KATIKA HARAKATI ZAKE ZA UANAMITINDO
Flavian matata foundation-kisarawe (61 of 152)
WALIMU WA CHANZIGE BFlavian matata foundation-kisarawe (64 of 152)
Flavian matata foundation-kisarawe (72 of 152)Flavian matata foundation-kisarawe (75 of 152)
ALIKARIBISHWA NA JIVING YA NGUVU AKAKUMBUKIA ENZI ZAKEE Flavian matata foundation-kisarawe (86 of 152) Flavian matata foundation-kisarawe (91 of 152)
KIKAZI ZAIDI

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment