FADHILA's GRADUATION PARTY!!!

 EVENT                     ::GRADUATION PARTY
VENUE                      ::LAMADA
DRESS                      ::J&M VIRGO BOUTIQ
COLOR                     ::RED & BLACK
DECOR                     ::MAMA GAO
CAKE                         ::MAMA GAO
CATERER                ::MAMU CATERER-+255 759 816 341
NI GRADUATION PARTY YA FADHILA BINTI WA MC JAMILA KITMTIM, ALIYEMALIZA MASOMO YAKE YA DEGREE YA KWANZA YA INTERNATIONAL RELATIONS HUKO KAMPALA UNIVERSITY, YAP MIMI NIMEMKUBALI MC JAMILA ASILIMIA ZOTE, JAMILA ALIFANYA SHEREHE YA KUMPONGEZA BINTI YAKE KWA HATUA ALIYOFIKIA HUKU AKIMSISITIZA BADO MASTERS..!!! FADHILA BINTI MWENYE SMILE NZURI USONI KWAKE, HESHIMA PAMOJA NA MANENO YENYE BUSARA...!!! MC JAMILA KAKOKSHWAJE NISIMALIZE ZAMA NDANI

NGUO YA FADHILA TOKA  BONYEZA HAPO KUONA VIVAZI VYA UKWEE'E J&M VIRGO BLOG
FADHILA AKIINGIA
 FADHILA ALIONGOZWA NA KAKA ZAKE
MC
TULIONGOZWA NA MC HAWA, BUKENE, VERO & COLUMBA
INTRO...!! 
MAMA JAMILA KITMTIM AKIINGIA, SITTU MWASI WAKIMUUINGIZA
DECOR....///
CAKE
HUG EACH OTHER WITH LOVE!!!
MAMA NA MWANA WAKILISHANA KEKI
SHANGAZI AKILISHWA KEKI
AKIMLISHA KEKI KAKA YAKE
HUYU KAKA KABLA YA KULISHWA KEKI ALICHEZA MZIKI EE BWANA WE ACHA ANAJUAJE TENA HIZI ZA BONGO FLEVA
MR & MRS BUSORO WAKILISHWA KEKI
MC COLUMBA AKILISHWA KEKI KWA NIABA YA MC's
ZAWADI
AUNT DAD SITTU NDIO WA KWANZA KUMPA ZAWADI FADHILA
SITTU LEO KATOKA KITHUNGU KWANZA ALIMPA BUNDLE OF FLOWERS 
HERENI ZA DHAHABU NA PETE, MWENYEKITI UMETISHAAA..!!!
MAMA MZAZI JAMILA AKIMPA BINTI YAKE ZAWADI
ZAWADI YA JAMILA KWA BINTI YAKE, TUNAKWENDA NA WAKATI KITU CHA SAMSUNG GALAXY TAB
HUG FOR LOVE SO SWEET
KISHA AKAMKABIDHI BINTI YAKE TAB
MAMA NA MWANA PENDEZA MASHALLAH
JAMILA AKIFUTWA JASHO HAPANA CHEZZEYA FOLENI NDEFU....!!! VIDEO YAJA JAMILA AKIPOKEA MAHELA
MC DALILAH JAGGAR AKIMKOSHA MC MWENZAKE JAMILA
TATU LUMELEZI AKMTUNZA JAMILA
AMINA AKIMTUNZA JAMILA
MC JOJO SAUTI YA SIMBA AKICHEZA NA MC JAMILA KWA PESA
MR & MRS BUSORO WAKIMKOSHA JAMILA NA FADHILA
JAMILA AKITUNZWA DOLLAR NA MRS BUSORO
SHARIFFA MKE YA MODDY MADENGE NA KAMPANI YAKE WAKIMKOSHA JAMILA
SHARIFFA AKIMKOSHA JAMILA
HUSNA MADENGE AKIMKOSHA JAMILA
JAMILA AKATUNZWA SAMSUNG GALAXY S4 MPYAAAA
HUSNA MADOHORA MA KAMPANI YAKE WAKIKOSHA JAMILA, HAPANA CHEZEYA PESA ZINAGAA TU...!!!
MAMA MKUBWA AKIMTUNZA BINTI YAKE
FARAJA GROUP WAKITOA ZAWADI ZAO
WASTARA MWANACHAMA WA FARAJA GROUP WAKIMTUNZA FADHILA
WALIANZA KUMTUNZA FADHILA 540,000/= UPO??
FARAJA GROUP WAKIMKOSHA MAMA
MC MAGONGO AKIMTUNZA FADHILA NA MAMA YAKE
SHARIFFA KAVU AKIKABIDHI SANDUKU KWA FADHILA, NI OFFICE DRESS...!!! KUSOMA RAHA...!!
MC DALILAH JAGGAR AKISASAMBUA SANDUKU UMEONA!!!
SHARRIFA AKIONGEA KWA UPOLE BAADA YA KUSASAMBUA SANDUKU KUONA VIDEO BONYEZA HAPA VIDEO YA SANDUKU LA SHARIFFA KAVU
SHERRY AKIKABIDHI SANDUKU, UNAJUA HUKU MJINI KUNA MAMBO WENGI WAO HATUYAJUI, JAMILA ALIMPA UMAMA SHARIFFA KAVU
SHANGAZI AKIFUTWA JASHO
TABU MABOBISH YANGA DAMU AKIMFUTA JASHO SHANGAZI SITTU
ZAKIA RAJAB AKIMFUTA JASHO SITTU
MARIAM MNTAMBO, SHARIFA KAVU & SAADA WAKIMKOSHA SHANGAZI
SHARIFFA MUKE YA MOODY MADENGE AKIMKOSHA SHANGAZI
JAMILA AKIMTUNZA KIJANA MBAY WALIPATA WOTE NA FADHILA DEGREE YA KWANZA HUKO KAMPALA
FADHILA AKITOA SHUKURANI
MC ALIMPA FADHILA MUDA WA DK KAMA 10 ATOE SHUKURANI ZAKE, KWANZA KABISA ALIANZA KWA KUMSIFIA MAMA YAKE JAMILA KWA MAJINA YOTE MANZURI, AKASEMA ANAESHIM SANA KAZI YA MAMA YAKE KWA SABABU NDIO ILIYOMFANYA MPAKA AKAWEZA KUPATA HIYO DEGREE, AKAWAKUMBUKA MAREHEMU AMBAO PIA WALICHANGIA SANA KATIKA ELIMU YAKE, AKAWAOMBA WAALIKWA WAMUOMBEE DUA ILI APATE KAZI NZURI NA MAMA YAKE AONJE MATUNDA YA KWAKE NA KWASHUKURU WAGENI WOTE WAALIKWA KWA USHIRIKIANO WALIOMPA MAMA YAKE NA KUHAIDI ATAKUWA BINTI MNZURI...!!!

CHAKULA
MPISHI ALIPIKA HASWA CHAKULA KITAMU MIE NILIZAMA KWENYE NDIZI ZA NAZI, HALAFU NDIZI NYAMA MNYENYELE
NYUSO
JAMILA, SALMA & ALHANISA
JAMILA, MAMA YAKE FADHILA, FADHILA ALIKUPA SIFA ZOTE MASHALLAH!!!
TABU MABOBISH & FRIEND
ALHANISA SLEYUM & JAMILA
SITTU & PACHA WAKE
TATU LUMELEZI PENDEZA SHOSTI....!!!
SALMA MNTAMBO INJINI YA JIJI, & MARIAM, MAMA NA MWANA PENDEZA
HAKUNA KAMA MAMA JAMANI EEH!!!
JAMILA NA WANAE
JOHA KABOTOKA, HUBBY & FRIEND
KYDAWA & JAMILA - BFF
SAADA & AMINA
HUSNA MADOHORA & KAMPANI YAKE, HAPANA CHEZEYA TISHAAA...!!
SHARIFA, MARIAM & ZAKIA WATOTO WA MUJINI NG'ARING'ARI
ZUHURA NYAUCHI & MWAVITA
REHEMA
ASHA TOM, FATMA AFUA & FRIENDS

MAMA WA YANGA TABU MABOBISH & FULL KAMPANI
WATOTO WA KARIAKOO HAPANA CHEZEYA
TABU MABOBISH, ZAKIA & FRIEND
FADHILA NA RAFIKI ZAKE WALIOSOMA CHUO PAMOJA HUKO KAMPALA UNVERSITY
KYDAWA, NYOTA & SALMA
SHOSTITO WA UKWEE'E SHARIFA KAVU & JAMILA
FADHILA & AUNT DAD WAKE SITTU MWASI
FADHILA & MC MAGONGO
HABIBA & FRIENDS
TATU, HAWENA & AMINA
TATU LUMELEZI & FRIENDS
MC MAGONGO & FRIENDS
HUSNA MADENGE & FRIEND
SHARIFFA & HUBBY MOODY MADENGE
WASTARA & FRIEND
JASMIN AFUA & FRIENDS
HUSNA & FRIEND
RED CARPET


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

8 comments:

 1. Hongera sana Mc Jamila Elimu kwanza. Umefanya jambo kubwa sana kwa mwanao. Nimefurahi mpaka machozi yamenitoka.. umeonyesha ni jinsi gani umejinyima ili mtoto wako asome umeonyesha mfano kwa wengine ulikuwa na haki ya kufurahi na kutunzwa. Fadhila kweli jina lako limeendana na wewe umefanya fadhila kwa mama yako hukumuuangusha hongera sana. Mwenyezi mungu inshaallah akujaalie kazi nzuri, afya na uzima ili mama yako afaidi matunda yako. Amin

  ReplyDelete
 2. Mashaaallah shughuli ilipendeza kupita maelezo, yaani sioni pakukosoa. Graduation hivi Send-Off itakuwaje da Jamila!? Hongera nyingi hakika wewe ni mtu wa watu.

  ReplyDelete
 3. Mashallah Jammila kweli watu wanakupenda sana M.Mungu amuongoze Fadhila ule matunda yake mashallah shughuli pambe hasa haijatokea kw kweli.

  ReplyDelete
 4. Jamani hii kiboko karibisha mwaka ni zaidi ya harusi Jamila umetisha mamaaa shughuli imesimama hasaaa
  hongera zako sana mtoto wa mjini.

  ReplyDelete
 5. NG'ARING'ARIIIIII.......!!!

  ReplyDelete
 6. sasa jaman akimaliza phd si itakuwa shughuli lolzzz, nataman ningepata mama kama huyo na masters zangu mbili sijapewa chochote eeeh, hongera sana kwa mwenye graduation

  ReplyDelete
 7. sasa jaman akimaliza phd si itakuwa shughuli lolzzz, nataman ningepata mama kama huyo na masters zangu mbili sijapewa chochote eeeh, hongera sana kwa mwenye graduation

  ReplyDelete
 8. SALICA ANGEL, NJOO KWANGU NIKUZAE MM, TENA NITAKUFANYIA SHEREHE HIYO UTAISAHAU,

  ReplyDelete