Sponsor

BRIDAL HIJAB MUSLIM!!!

1:36:00 PM

Habari mamaa mashughuli,mie ni bi harusi wa kiislam mtarajiwa,naomba unipe link au uniwekee style mbalimbali ambazo ziko modern za bi harusi wa kiislam,yaan wanaojifunika kichwa.asante n I love ur blog
ASANTE SANA MDAU KWA KUIPENDA BLOG YETU YA MASHUGHULIBLOG, PILI NAPENDA KUKUPA PONGEZA KWA KUWA BI ARUSI MTARAJIWA, NA SIE PIA TWAKUOMBEA DUA MWENYEZI MUNGU AKUSIMAMIE HILO LITIMIE INSHALLAH, KWA KUKUJALI MDAU WANGU NIMEKUWEKEA PICHA ZA MUSLIM BRIDAL HIJAB KWENYE NICCA NA WEDDING RECEPTION

 NICCA

You Might Also Like

6 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.