ASILA BRIDAL PACKAGE!!!

YES NI JACKLINE WALPER, MAKEUP ARTIST WAKE NI ASILA BRIDAL PACKAGE, WEWE UNAGOJA NINI?? NI KAZI YA MIKONO YAKE BADO HUJACHELEWA BI ARUSI MTARAJIWA
WANAPATIKANA:: MAGOMENI MIKUMI
MAWASILIANO:: +255 717 616 852

ANAFUNGA VILEMBA KWA WALE BI ARUSI WA KIISLAM KWENYE NDOA MUONENI ASILA KILEMBA KITULIE KICHWANI
MAIDS PIA WANAPAMBWA NA ASILA

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

5 comments:

 1. Habari mamaa mashughuli,mie ni bi harusi wa kiislam mtarajiwa,naomba unipe link au uniwekee style mbalimbali ambazo ziko modern za bi harusi wa kiislam,yaan wanaojifunika kichwa.asante n I love ur blog

  ReplyDelete
 2. nampenda asilah ni noma nashangaa watu wengine mjini wanajiona wao ndo wao ndo masupa makeup artist hata blog hawa update tena na hadi uwe maharufu ndo anashika sura yako..ooh mara sipambi watu binafsi oooh i only do bridal make up ooh nini...haya tutaona more competition in town..go asilah

  ReplyDelete
 3. da ni kweli kabisa kuna watu wanajisikia sana utasema hiyo make up hanayokuweka haitoki.Asila big up mama ongeza ujuzi uwapite wanaoringa mjini na masalon yao.

  ReplyDelete
 4. Well done Asila!!!

  ReplyDelete
 5. ASILA is just the best. Her make up is sooooo neat and the prices reasonable.

  ReplyDelete