ABAS & LEYLA WEDDING RECEPTION!!!

BRIDE                       ::LEYLA
GROOM                    ::ABAS
EVENT                      ::WEDDING RECEPTION
VENUE                      ::LAMADA VIP HALL
BRIDAL MAKEP    ::GLAMBOX WEDDING
COLOR                     ::L.BLUE, YELLOW & LIGHT PINK
MC                             ::KUNYOPA
YES!! NI ILE RECEPTION YA ABAS & LEYLA BAADA YA KUONA FRIENDS PARTY, SENDOFF & AQDI LEO TWAMALIZIA NA RECEPTION YAO ILIYOPENDEZA NA MAARUSI KUPENDEZA, NILIPENDAJE GAUNI LA BI ARUSI LEYLA MAMBO SI YA KAWAIDA..!!!

MC
MC KUNYOPA YUKO VINZURI SANA MARA YA KWANZA KUMUONA LAKINI WADAU ANAFAA SANA +255 754 445 027
MAARUSI WAKIINGIA
INTRO...!!
ABASI AKIMTAMBULISHA MTOTO WAKE NA MKE WAKE LEYLA
LEYLA AKITOA INTRO....!!!
MAMA AKIINGIA!!!!
 DECOR.....///
PETE
LEYLA NA ABAS WAKIKABIDHIWA PETE ZAO
CAKE
BABA MKUBWA AKIPOKEA KEKI KWA NIABA YA BABA MZEE KATEMBO
MAMA MKWE AKPIKEA KEKI
DADA AKIPOKEA KEKI NA MARAFIKI ZAKE
MJOMBA AKIPOKEA KEKI
M-KITI WA KAMATI AKIPOKEA KEKI
CHAMPAGNE
BURUDANI
LEYLA WA JAHAZI, AKITURUSHA ROHO
LEYLA AKIIMWIMBIA WIFIYE MWENYE JINA LAKE LEYLA, LEYLA NA DADA YAKE ABAS
CHAKULA
LEYLA NA MUMEWE ABAS WAKILA CHAKULA
LEYLA AKIINGIA NA NGUO YA PILI
HONGERA
NYUSO
MAMA MZAZI WA ABAS NA MAARUSI
LEYLA NA BINTI YAKE
SESSY MDOGO WA LEYLA
HIDAYA 
AISHA & FRIENDS
LEYLA NA MAMA MZAZI HIDAYA
LEYLA NA MAMA MLEZI
LEYLA & FRIEND
DAD's DAUGHTER
HIDAYA ASPRO MAMA MZAZI WA BI ARUSI LEYLA
RED CARPET

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments: