SILMAL

TAFUTA KITU BLOGUNI

Loading...

KAULI YA KAJALA KUHUSU WEMA SEPETU, BAADA YA HABARI ZISIZO RASMI KUTAPAKAA KWENYE BLOGS!!

Unajua mi nashangaa sana watu wanatoa wapi maneno wanayoandika, mimi sina tatizo na Wema, wala siwezi kuwa na tatizo naye, wema amekuwa msaada mkubwa kwangu, sa sijui nitagombana nini na wema, huo ni uzushi tuu jamani, muwe mnatuuliza kabla ya kuandika” Alisema kajala
Alipoulizwa kuhusu ukaribu wake mpya na wolper alisema
“Wolper nimekutana naye kwenye party ndo tukaamua kupiga picha, au siku hizi sitakiwi kupiga picha na mtu mwingine zaidi ya wema? Wolper ni rafiki yangu”

FASHIONISTAZ!!!!!!

SINGO YA THAURAT!!!!!

MWARI AKIINGIZWA UKUMBINI
BI ARUSI AKIINGIZWA UKUMBINI NA VITU ALIVYOFANYIWA SINGO KAMA ADA, WADAU SHUGHULI YA UKWEE'E, NI YULE YULE SALMA MNTAMBO A.K.A INJINI YA JIJI KAFANYA BALAAA, WATU WANYWA NA KULA MPAKA KWAKUCHA, MABEER USISEME KAMA WEWE HUKUALIKWA BASI SI WAMJINI MAANA WA MJINI WOTE WALIKUWEPO, WATU WALIPENDEZAJE, SARE IMENOGA ILE MBAYA...!! SI KITCHEN PARTY NI SINGO YA SOMO TUUUUU!!!

PICK IT!!!


LOOK OF THE DAY!!!!

USIKU WA KYDAWAH!!!!!

BRIDE       :: KYDAWAH
VENUE      :: KWALALUMPA HALL SINZA
COLUR     :: GREEN, YELLOW, BLACK & RED
 MAIDS WAKIINGIA NA BEGA MOJA, HAPANA CHZEYA, BI HARUSI AMENOGAJE? MAKE MWAOOOO!! UKO JUU BIBIE

STELLA & ISACK WEDDING RECEPTION!!!!

GROOM            :: ISACK
BRIDE               :: STELLA
MAKE-UP         :: MAZNAT
VENUE              :: MSASANI
COLOR             :: RED & YELLOW
BAADA YA NDOA KUFUNGWA BI ARUSI ALIBADILI NGUO KUELEKEA UKUMBINI ZAMA NDANI UJIONEE

NEW ARRIVAL @ CLASSIC STYLES BOUTIQUE!!!

HAYA WATEJA WA CLASSIC STYLES BOUTIQUE MAMBO MAPYA KILA SIKU HANDBAG, WALLET ZA AINA MBALIMBALI PAMOJA NA FLAT SHOES
DUKA LIKO KINONDONI MANYANYA KARIBU NA CASABLANCA BAR, MADUKA YANAYOTAZAMA BARABARA, MAWASILIANO.: +255 758 266 701
MIKOANI: HUDUMA YA KUTUMA MZIGO INAPATIKANA, UTALIPIA KWA TIGO PESA & MPESA NA UNATUMIWA

MAKEUP DONE BY ASILA BRIDE


JOYCE KIRIA WA WANAWAKE LIVE AMTAFUTA MUMEWE!!!

MTANGAZAJI WA KIPINDI CHA TV WANWAK LIVE JOYCE KIRIA, NDANI YA KITUA CHA EATV AKIWA AMESHIKILIA WATOTO WAKE LINCORN & LINGATONE, WAKATI ALIPOZUMNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI NJE YA JENGO LA IDARA YA HABARI MAELEZO, ILIYOPO KATIKA MTAA WA SAMORA JIJINI DAE HUKU AKIPAZA SAUTI KUMUOMBA RAISI JAKAYA KIKWETE NA WATANZANIA KWA UJUMLA ILI KUSAIDIWA KUJUA ALIKO MUME WAKE, BW. HENRY KILEO, AMAYE INADAIWA KUWA AMESHIKILIWA NA JSHI LA POLICE.... Kusoma zaidi ingia http://issamichuzi.blogspot.com/

HAIRSTYLES!!!


ISACK & STELLA COURT WEDDING!!!

GROOM            :: ISACK
BRIDE               :: STELLA
MAKE-UP         :: MAZNAT
VENUE              :: UD-KILELENI RESIDENT
COLOR             :: RED & YELLOW
MUSIC              :: RESPECT DJ’s
DECORATION:: NASHY
 
 JACK & AUNTY YAKE, WAKISUBIRI NDOA IFUNGWE...!!

AQDI YA ABDUL-KARIM KISMAT & SUREIYABEGUM ASLAM!!!!

VENUE:: KURCH HALL
 HANIPHER AKIMVISHA TAJI LA ASMIN NDUGU YAKE KABLA YA KUINGIA UKUMBINI, TUMEZOEA BI ARUSI MUME WAKE AKISHAMPA MKONO ANAMFUNUA, HUKU SIVYO INGIA NDANI UONE ZAIDI NI MAMBO YA MILA NA DESTURI...!!

MONEY PARTY-ABDULKARIM KISMAT!!!

ABDULKARIM A.K.A KIM AKITOLEWA NJE NA DADA YAKE...!!
 USIKU WA PESA WA ABDULKARIM, MAMBO YALE WADAU MWAKA JANA MONEY PARTY YA KAKA YAKE ABDULKARIM MOHAMED ILIFANYIKA PALE OSTERBAY, SHEREHE HII INAHUSU MATUNZANO TU!! KULA KUNYWA NA KUCHEZA, NISIONGEE SANA ZAMA NDANI UJIONEE.....!!!

RED CARPET-KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARD 2013 @ DIAMOND JUBILEE

 WEMA SEPETU

GROW AMBASSADORS UNVEILING EVENT!!

EVENT PLANNER:: VITU VYA KHADIJA
VENUE::NATIONAL MESEUM HALL
EVENT:: GROW AMBASSADORS UNVEILING EVENT
TAKWIMU zinaonyesha, tuko watu Billion Saba ulimwenguni hadi sasa. 
TAKWIMU hizo hizo zinaonyesha, kati ya hao, takribani watu Billion moja hulala na njaa kila siku hiyo ikiwa ni tafsiri ya takribani mtu MMOJA kati ya watu SABA.
USHAHIDI upo kwamba chakula kinachozalishwa kinatutosha kula hadi kusaza.

USHAHIDI upo masokoni na sehemu za kuuza chakula jinsi ambavyo chakula hasa mboga mboga na matunda vinavyotupwa baada ya kuharibika.

USHAHIDI upo kwenye mashimo ya taka tunapotupa mabaki ya chakula.
USHAHIDI upo mashambani kwa wakulima wadogo wadogo wanaoacha mazao kuharibikia shambani kwa kukosa soko.
USHAHIDI upo kwenye supermarkets chakula kinapotupwa kwa sababu kime-expire..
MAKADIRIO ni kuwa kufikia mwaka 2050 tutakuwa watu BIllion Tisa ulimwenguni.
USHIRIKIANO ni msingi sasa kuhakikisha tunawezesha mfumo wa chakula kuwa wa HAKI na USAWA. Hii ni kuanzia shambani hadi jikoni.
Tunawatambulisha kwenu MABALOZI wa kampeni ya GROW inayoendeshwa na Shirika la kimataifa la Oxfam kuwa ni Masoud Kipanya, Khadija Mwanamboka, Jacob 'JB' Stephen, Shyrose Bhanji, Shamim Mwasha, Halima Mdee na Dina Marios.
Tutazidi kuwaletea maendeleo ya kazi zao katika ukurasa huu.

JACKLIN WALPER MAKEUP BY ASILA BRIDE!!!

 

Make up artist and hairstyle, Bridal Beauty services.

Location: Magomeni Mikumi

Contact/Mawasiliano: +255717616852
tembelea website yao http://asilabrides.wordpress.com/

NEW ARRIVAL @ TRUDY'S INTIMATE APPAREL!!!!

 NI WALE WAKALI WA NGUO ZA NDANI, KAMA KAWAIDA YAO WAMEINGIZI MZIGO MPYA KWA AJILI YA WATEJA WAO, UNLIMITED STOCK KWA WANAWAKE NA WANAUME INGIA NDANI KUJIONEA ZAIDI
WANAPATIKANA MWENGE NYUMA YA JENGO LA JAMIREX, KABLA HUJAFIKA TAMAL HOTEL
MAWASILIANO:: +255 653 005 544
FACEBOOK PAGE YAO http://www.facebook.com/TrudysIntimateApparel

BRAZILIAN HUMAN HAIR ORIGINAL & PERUVIAN HAIR!!!!

HAYA WADAU WANGU SHIDA YA ZILE NYWELE ZA UKWELI IMEKWISHA KWA BEI POA KABISA, JIPATIE NYWELE YAKO YA KUDUMU SASA, BEI ZIKO TAYARI NA UKIHITAJI UNALETEWA PALE ULIPO KWA GHARAMA ILE ILE
ZINAPATIKANA NA kwa Jumla  na reja reja
HAWANA DUKA WANAKULETEA ULIKO WASILIANA NAO KWA NAMBA

 +255 784 670 695, +255 716 817 771

BRAZILLIAN HUMAN HAIR ORIGINAL!!!
 Price for Brazilian  Ichi 16 price 250,000 4pc
 18ich price 300,000 4pc
 20ich price  350,000 4pc
 22ich price 400,000 4 pc
PERUVIAN HAIR

PATA POCHI NA FLAT SHOES @ CLASSIC STYLES BOUTIQUE!!


   HAYA WATEJA WA CLASSIC BOUTIQUE ZILE SANDALS ZIMEKUJA KILA RANGI CHAGUO NI LAKO TU
DUKA LIKO KINONDONI MANYANYA KARIBU NA CASABLANCA BAR, MADUKA YANAYOTAZAMA BARABARA, MAWASILIANO.: +255 758 266 701
MIKOANI: HUDUMA YA KUTUMA MZIGO INAPATIKANA, UTALIPIA KWA TIGO PESA & MPESA NA UNATUMIWA

AQDI YA FATMA & ABEDI @ CUTCH HALL


ZAMA NDANI UMUONE BI HARUSI FATMA ALIVYPENDEZA...!!

PENDEZESHA NYUMBA YAKO NA KATTE PILLOWS SHOP!!!

 MAJRIS, KAMA HII UNAWEZA WEKA PEMBENI MWA SOFA.
ANAPATIKANA KINONDONI MANYANYA
MAWASILIANO::+255 715 432 289

SAUDA KITCHEN PARTY

BRIDE      ::SAUDA MOHAMED
VENUE     :: VATICAN KIWALANI
COLOUR  :: RED,GREEN, PURPLE & ORANGE
DESIGNER:: ABASI

RE-UNION CEREMONY OF ROSE & HIS BELOVED SON MOHAMED AFTER 16 YEARS!!

SOPHIA AKIWA NA WATOTO, WAKIMSUBIRI KAKA YAO MOHAMED. WADAU NI STORY NDEFU NA YENYE KUSIKITISHA, ROSE IS MY SISTER, NILIMBEBA MOHAMED ALIVYOKUWA MDOGO AKIWA NA MIAKA 4, BAADA YA HAPO ALIPOTEA MACHONI MWETU KWA MIAKA 16, LEO ANARUDI NI FURAHA ILIYOJE? SOCIAL NETWORK ILIMSAIDIA ROSE KUMPATA THE ONLY SON MOHAMED NI FACEBOOK!!! OMG SIWEZI KUONGEA SANA ANGALIA PICHA BILA SHAKA NA WEWE CHOZI LITAKUTOKA MDAU

KITCHEN PARTY YA SAIDA ABDALLAH (MDOGO WAKE ISHA MASHAUZI)!!!

BRIDE      ::SAIDA ABDALLAH
VENUE     :: MRC MIKOCHENI
COLOUR  :: GREEN, BLUE & CREAM
MC            :: MC. MUU, MC KIATU & MADOGORI
DESIGNER:: BAHIYA LUMELEZI +255 713 233 362
WAPAMBE WA BI HARUSI NDANI YA VAZI ASILIA LA KIKURYA, WAKISAFISHA NJIA YA SAIDA AINGIE 

ONJA:: RED CARPET KILLS MUSIC AWARDS 2013

 
MY BEST COUPLE!!!, NI ZA KUONJA TU.......!!!!!

MAULID, LUNCH & BIRTHDAY PARTY FOR SAMIHA & NAIYAZAT!!!!

 
TULIANZA NA MAULID KUWAOMBEA DUA WATOTO, NA LUNCH YA UKWEE'E
JIONI BIRTHDAY PARTY FOR SAMIHA & NAIYAZAT WAKAKATE KEKI ZAO, MAMBO NI KUBALANCE WAFANYA YA MUNGU NA YA DUNIA ZAMA NDANI........

LOOK OF THE DAY!!

SINGO YA SAIDA (MDOGO WAKE ISHA MASHAUZI) @ MANGO GARDEN!!

BI HARUSI SAIDA AKIINGIZWA NA PAMBE YA MASOMO WA MUJINI, ALIFANYIWA SINGO NYUMBANI, UKUMBINI ILIKUWA NI ADA TU, UPO HAPO MDAU...!!!! ISHA AFANYA BALAA HAPO MANGO...!!!!

HAPPY BIRTHDAY SHARRIFA!!!!
KHADIJA KOPA MALKIA WA MIPASHO AFIWA NA MUME WAKE!!!


 MALKIA WA MIPASHO KHADIJA KOPA AKIPEWA TAARIFA ZA MSIBA WA MUMEWE KUSOMA ZAIDI INGIA ISSAMICHUZI BLOG
SIKU YA NDOA YAO


TANZANIA MITINDO HOUSE-WATOTO WA AFRIKA EXHIBITION


KEEP FEZA IN THE BBA HOUSE!!!


JUST IN @ CLASSIC STYLES BOUTIQUE!!!

 DUKA LIKO KINONDONI MANYANYA KARIBU NA CASABLANCA BAR, MADUKA YANAYOTAZAMA BARABARA, MAWASILIANO.: +255 758 266 701
MIKOANI: HUDUMA YA KUTUMA MZIGO INAPATIKANA, UTALIPIA KWA TIGO PESA & MPESA NA UNATUMIWA

FATMA'S KITCHEN PARTY!!!

BRIDE      ::FATMAH HASSAN
MAKE-UP:: MADAM GLAMBOXWEDDING
VENUE     :: NADDS HALL SALENDER BRIDGE
COLOUR  :: KENTE COLOURS
MC            :: JAMILA KITMTIM - +255 655 374 440
FATMA ALIINGIA KWA CONFEDENCE AKIWA NA FURAHA KWANI SIKU YAKE SPECIAL NA ALIYE CHANGAMKA, MIMI BINAFSI UWA NAIPENDA HII SANA SHUGHULI IMETULIA SANA...!!!

KHADIJA NGODA SEND OFF PARTY

JUST IN @ CLASSIC STYLES BOUTIQUE

HAYA WADAU WALE WAKALI WA HANDBAG NA VIATU WAMESHUSHA MZIGO MPYA SONGA NDANI UJICHAGULIE
SANDALZ 
DUKA LIKO KINONDONI MANYANYA KARIBU NA CASABLANCA BAR, MADUKA YANAYOTAZAMA BARABARA, MAWASILIANO.: +255 758 266 701
MIKOANI: HUDUMA YA KUTUMA MZIGO INAPATIKANA, UTALIPIA KWA TIGO PESA & MPESA NA UNATUMIWA
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...