SILMAL

TAFUTA KITU BLOGUNI

Loading...

RAHMA & ABDU RECEPTION!!!!!

BRIDE::RAHMA
GROOM:: ABDU
VENUE::POLICE OFFICERS MESS
ENTERTAINMENT:: MASHUJAA BAND
COLOUR:: RED BLACK & WHITE
MC::
STILL PICTURE - SNAP STUDIO +255 713 472 115
MAKE-UP & HAIRSTYLE: - GLAMBOXWEDDING 
CATERER:: TALMA 

NAIJA WEDDINGKIJACHO:: WEDDING RECEPTION RAHMA & ABDU

NEW COUPLE IN TOWN ABDU & RAHMA FUNIKA ILE MBAYA! 
 HAIR STYLE BOMBA...!!!
ZAMA NDANI UJIONJEE MWENYEWE!!!!, TWAMALIZI NGWE YA MWISHO, HARUSI WEEK NZIMA!!!

AQDI YA RAHMA & ABDU!!!

VENUE: CUTCHI HALL
COLOUR:: LIGHT BLUE & SILVER
BRIDE:: RAHMA
GROOM:: ABDU TALL
MAMBO YA BLACKBERRY, KUHABARISHANA KWA KWELI RAHMA KAPENDEZA SHUGHULI ZAKE ZOTE KUANZIA SINGO MPAKA AQDI, WADAU WENGI WEMSEFIA SANA LAKINI MIE NASEMA NA UTURI UNACHANGIA...!! UKIJA KWENYE MAKE-UP GLAMBOXWEDDING's "BEAUTIFUL MAKE IS OUR HALLAMRK" I SALUTE YOU, BONYEZA KITUFE UONE MAMBO YA UKWE'EE

RAHMA TALL (HELLEN) SEND OFF PARTY

Venue:: Delux Inn
Entertainment:: Respect DJ's-0713 304 055
Colour:: Red & Dark Blue
Bride:: Rahma
MC:: Chriss Mauki
Still Picture:: H&M Studio
 
 
KAMA KAWAIDA MAKE-UP & HAIR STYLE BY PROFESSIONAL GLAMBOXWEDDING, KWAO HAKUNA KUKOSEA...!! ZAMA NDANI KUONA ZAIDI

UDAKUZ SIMUNI-LULU AACHIWA KWA KUPEWA DHAMANI SASA HIVI


Lulu apata dhamana,atoa machozi mahakamana! Ameachiwa kwa 
masharti ikiwemo kuacha hati yake ya kusafiria mahakamani,kuripoti mahakamani kila tar moja ya mwezi,wafadhili waweke bond ya mil 20

LUSIVYA MDAU WA TWANGA ACHUKUA NONDO YA FINANCE & ACCOUNTING

  Lusivya achukua Nondo ya Accounting and Finance toka Chuo kikuu cha De Montfort UK, Zama ndani kwa picha zaidi

FASHION FIXX - DUKA LA MITUMBA (GRADE ONE)

NI WAUZAJI WA MITUMBA ILE GRADE ONE, JE UNATAKA KUTOKA KIVYAKO, USIFANANE NA WENGINE?? TEMBELEA FASHION FIXX, UTAPATA NGUO QUALITY NA FASHION ZINAZOENDA NA WAKATI KWA BEI POA
WANAPATIKANA: SINZA MAPAMBANO NEXT TO MINI SUPERMARKET
WASILIANA NAO KUPITIA NO.: +255 655 900 583, +255 688 244 243
NENDA NA PICHA UONE WANAOVISHWA NA FASHION FIXX

ZAMA NDANI KWA PICHA ZAIDI

ALEK WEK FOR AS IF MAGAZINE!!!

ZAMA NDANI KUONA ZAIDI

HEALTHY RELATIONSHIPS


COMING NEXT:: HELLEN URIO (RAHMA TALL) SEND OFF PARTY

KILA SHUGHULI INAMZIDI MWENZAKE, AMEPENDEZA SAAANA! WOOOH, ZAMA NDANI KUONA KIDOGO SIO ZAIDI...!!

HELLEN URIO (RAHMA) KITCHEN PARTY

VENUE:: MARKHAM MAYFAIR MIKOCHENI
ENTERTAINMENT:: RUSHA ROHO & ORIGINAL AFRICAN BAND
BRIDE:: HELLEN URIO (RAHMA)
COLOUR:: YELLOW, PURPLE & WHITE
MAKE-UP:: GLAMBOXWEDDING
MC:: MISHI
CATERRER::
DRESS::
DECO:: PACO

 
 
RAHMA AU HELLEN KUPENDEZA KAWAIDA YAKE, MAKE-UP, YAKE KAMA KAWAIDA PAMBE, INGIA NDANI KUONA ZAIDI...!!

RAHMA TALL SINGO!! (HELLEN URIO)

VENUE:: PJ HALL
ENTERTAINMENT:: RUSHA ROHO & KIBAO KATA
BRIDE:: RAHMA TALL
COLOUR:: GOLD & LIGHT BLUE
MAKE-UP:: GLAMBOXWEDDING
MC:: MUU 
Beautiful make-up done by GLAMBOXWEDDING!!
CUTE EEH!!
She is a queen kubali au kataa, I like her Indiana Swaga was very simple no  makorokoro...!! zama ndani kuona zaidi...!!

LOOK OF THE DAY!


NAIJA WEDDING - INTRO & ENGAGEMENT


HIVI NDIVYO ENGAGEMENT INAVYOFANYIKA!!


HII IN INTRODUCTION & ENGAGEMENT, HARUSI ITAKUWAJE!! HAPA KWETU WENGI HAWAPENDI KUTOA PICHA ZA MAHARI KWA KUHOFIA HARUSI INAWEZEKANA ISIKAMILIKE, MIMI NASEMA HIVI ALIPANGALO MWENYEZI MUNGU BINADAMU HAWEZI KWAMISHA KAMWE!!! ZAMA NDANI UONE MAMBO YAO..!!

OPEN MIC NIGHT2013@NYUMBANI LOUNGE

KWA MARA YA KWAZA NDANI YA MWAKA 2013, LA POETISTA BONGE LA EVENT LINALOJUMUISHA POETRY, MUSICIAN, COMEDIAN & DANCERS SUPRISES KIBAO!!
NI LEO SIKU YA ALHAMISI KUANZIA SAA 12 JIONI MPAKA SAA 4 USIKU 
KIINGILIO:: BURE
NJOO WEWE MLETE NA YULE!!

LOCATION/DIRECTION
NYUMBANI LOUNGE
TRANIC PLAZA
ADA ESTATE
NEAR BEST BITE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...