SINGO YA DIWALANGE @ MAGOMENI!!!

 SINGO YA DIWALANGE ILYOFANYIKA HAPO MAGOMENI, BAADA YA KUSINGWA VYOMBO ALIVYOSINGIWA VYATOLEWA NJE, WAALIKWA MUWATUNZE WASINGAJI, KISHA BWANA ARUSI ANATOLEWA LAKINI HAMUMUONI....!!! ZAMA NDANI KUONA PICHA

 SINIA LA HINA HILOOOO
 MAMA MANZI NA WIFIYE
BWANA ARUSI AKITOLEWA NJE BAADA YA KUSINGWA
APITISHWA ROUND BILA YA KUFUNULIWA
CHAI
 BAADA YA KUSINGWA BWANA ARUSI ANAKUNYWA CHAI PAMBE ALIYOTAYARISHIWA.....!!!
BURUDANI
HAPANA CHEZEYA BI MWASHAMBA, KULIKUWA NA BAIKOKO, KIBAO KATA NA RUSHA ROHO!!!
BI MWASHAMBA AKICHEZA.....!!! ARUSI YA MWANA LEO!!!
NYUSO
FATMA SHARRIF & FRIEND
BI MWASHAMBA MAMA MZAZI WA BWANA ARUSI MTARAJIWA
SHARRIFA HASHIM & SALAMA KINGUI
MAMA MANZI MAMA YA CAKE NA MADIKODIKO
BI MWASHAMBA, ALHANISA & FRIEND
KANGA MOKO NA SARE ZAO
SUPER STAY TANT BOY 

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment