Sponsor

SHEREHE YA UBATIZO WA BABY JOHNSON!!!

3:43:00 PM

NI SHEREHE YA UBATIZO WA BABY JOHNSON KWA KUBATIZWA, NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI WALIKAA PAMOJA KULA NA KUNYWA PAMOJA, HAYA YOTE YALIFANYIKA TAZARA, HAPANA CHEZEA UNCLE WAKE JOHNSON, YAHYA KAMTUNZAJE BABY JOHNSON ZAMA NDANI KUONA ZAIDI....!!!

DECOR
BY YAHYA
BURUDANI
CHAKULA
 TULIANZA NA SUPU YA KUKU KWA CHAPATI
TUKAPEWA SAHANI YENYE CHAKULA TUKAAMBIWA HIYO NI TAKE AWAYA...!!!
HONGERA KWA WAZAZI WA JOHNSON
UNCLE YAHYA AKIPELEKA ZAWADI UNCLE WAKE JOHNSON, HAPANA CHEZEYA UKO JUUU
WAPAMBE WAMEBEBA ZAWADI PAMBE 
KISHA AKATOA CHENI YA KWANZA YA SILVER
AKATOA PETE YA SILVER
CHENI YA PILI NA PETE UNCLE TISHAAAA
UNCLE YAKE JOHNSON YAHYA AKIFUTWA JASHO
FRANK TOKA ZANZIBAR AKIMFUTA JASHO KAKA YAKE YAHYA
NYUSO
BABA NA MAMA JOHNSON
JOHA & FRIEND
 YAHYA, MASOUD & KEI
 MASOUD PICADILLY, KEI, HELLEN & FRANK
MARIAM & FRIEND
BIBI YAKE JOHNSON PENDEZA
SHARIFFA & MOODY MADENGE, MY COUPLE
MARYAM WHITE & HUBBY
 MAMA JOHNSON, BIBI NA BABU
 MWANAID & YAHYA
KEI & MWANAIDI
RED CARPET

You Might Also Like

2 comments

  1. god bless u my johnson!!! tulitisherrrrrrrr....

    ReplyDelete
  2. NICE PARTY, ILA MAKE UP YA MARIAM WHITE NOMAAA

    ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.