Sponsor

SHEREHE YA KUMPONGEZA ASSISTANT INSPECTOR SHONGOLO KWA KUPANDISHWA CHEO!!!

11:12:00 AM

EVENT ::KUPANDISHWA CHEO
VENUE ::NYANTARE HALL TABATA
COLOR ::BLUE, RED, GOLD & SILVER
  YAP!!! SISI NDIO MASHUGHULI BWANA...!!! HII ILIKUWA NI SHEREHE YA KUMPONGEZA INSPECTOR SHONGOLO KWA KUPANDISHWA CHEO SASA NI "ASSISTANT INSPECTOR", SHEREHE ILIYOANDALIWA NA DADA YAKE MARYAM NA MUME WAKE MASOUD, HII ILIKUWA HATARI MAAGENT WA BANDARI NDANI YA NYUMBA SERA YAO KATA MTI PANDA MTI KUCHEZA MWANZO MWISHO
 

INSPECTOR SHONGOLO AKIINGIA UKUMBINI
 INSPECTOR SHONGOLO AKIINGIA VERY SMART & NEAT!!!
 MADADA WALIMPAMBAJE INSPECTOR....!!!
DECOR....!!!
CAKE
CHAMPAGNE
  KINYWAJI MLIPUKO CHA KUMTAKIA MEMA INSPECTOR SHONGOLO
INSPECTOR SHONGOLO NA SHEMEJI WAKIFUNGUA CHAMPAGNE
BAADA YA KUMALIZA HAYO INSPECTOR SHONGOLO ALIKIINGIA MA NGUO ZA KIRAIA
 MSAFIRI AKIWASHUKURU DADA YAKE NA SHEMEJI MASOUD KWA KKUMANDALIA SHEREHE NZURI SANA YA KUMPA MOYO KUFANYA KAZI KWA BIDII...!!!
BURUDANI
 CHAKULA
MARYAM NA MASOUD WAKIKOSHWA!!!
NYUSO
 HAPANA CHEZEYA PENZI PENZINI
 GETU NAKUONA NA TEAM NATURAL
JOYCE MDAU WA UKWEE
RED CARPET
HAPANA CHEZEYA BWA SHEMEJI
MARYAM & HUBBY

EMMANUEL PHOTO FASTER

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.