RAYAH AND HANIFAH KITCHEN PARTY!!!

BRIDES                       ::RAYAH & HANIFA
EVENT                         ::KITCHEN PARTY
VENUE                         ::MIRADO HALL SINZA
COLOR                        ::PINK, YELLOW,  & BROWN
BRIDAL MAKEUP       ::GLAMBOX
CAKE                            ::HAPPINES CAKE
MC                                ::JAMILA KITMTIM


HAYA WADAU KITCHEN PARTY YA RAYAH NA HANIFA SI MAPACHA HAWA, NI NDUGU NDIO YALE DAMU NZITO KULIKO MAJI, SHAMRASHAMRA HIZI ZILIFANYIKA NDANI YA UKUMBI MPYA KABISA MIRADO HALL KATI YA SINZA, SOMO WA RAYAH NA HANIFA NI MAMIE KYDAWAH, KYDAWAH SOMO YAKE NI NYOTA SASA ZAMA UONE JINSI KYDAWAH ALIVYOMKABIDHA WARI SOMO YAKE NYOTA...!!!
HANIFA
RAYAH
HANIFA
RAYAH
MAARUSI WAKIINGIA
MASOMO WAKIINGIAMWARI AKIFICHULIWA

KAMATI
 INTRO....!!
HANIFA AKITAMBULISHA FAMILIA
RAYAH AKITAMBULISHA FAMILIA
 DECOR...!!!!
 ZAWADI
CAKE
SOMO AKILISHWA KEKI
 CHAMPAGNE
BURUDANI
RAYAH & HANIFA WAKIKABIDHIWA ZAWADI ZAO
WAZAZI WAKIKABIDHI MASANDUKU YA MAMA
RAYAH AKIWA NA MAMA MZAZI
HANIFA AKIWA NA MAMA YAKE
SALAMA DADA YA RAYAH, MAMA KWA HANIFA AKIENDA KABIDHI ZAWADI ZAKE KWA MAARUSI

NYOTA NA KAMPANI YAKE AKIENDA KUMTUNZA HANIFA

NYOTA NA SALMA WALIKUWEPO BEGA KWA BEGA KUMSINDIKIZA MWARI WAKE NYOTA KYIDAWAH
RAYAH NA HANIFA WAKIENDA MFUTA JASHO MWARI

SOMO AKITUNZWA NA WARI WAKE
WAZAZI WAKATUNZWA PIA
DADA NA ODO WA HANIFA & RAYAH
MAI AKITUNZWA NA SHOSTITO
CHAKULA
NYUSO
SALMA & NYOTA
WAZAZI 
SOMO KYIDAWA
MAMA MZAA CHEMA-MAMA RAYAH
RED CARPET
JAMILA KITMTIM

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

6 comments:

 1. imependeza sana na nimepata idea ya nguo yangu ya kitchen party. asante sana

  ReplyDelete
 2. Pendeza sanaaa! Somo oyeeeeeeeeeeeeeeeee!

  ReplyDelete
 3. Rayah & Hanifa I wish you all the best and May our God Bless you in your new life.

  ReplyDelete
 4. mmependeza sana rayah na hanifa

  ReplyDelete
 5. Hawa ndugu wamependeza na kufanana hadi raha.

  ReplyDelete
 6. Pendeza sanaaaaa na shoga angu wa ukweli mm penda ww mnooo mama kyla na kati ya tbr

  ReplyDelete