ONJA:: KHADIJA SENDOFF PARTY!!!

 YAP NI YULE BINTI MREMBO KHADIJA AMBAYE UKIMTAZAMA TU UNAJUA HUYU NI MREMBO MWENYE KUJITHAMINI, ALIINGIZWA UKUMBINI NA KAKA YAKE, HAPA SASA NDIO TUNA MSENDOFF PARTY, KHADIJA ALIPENDEZA SANA KUANZIA NGUO MPAKA MAKEUP YEYE NA MPAMBE WAKE I LOVE IT, NIMEWAONJESHA TU....!!! 

 MAMA MZAZI AKIWAPOKEA WATOTO
 KWA MARA YA KWANZA NIMEKUTANA NA BEN KINYAIYA KAMA MC MMMH!!! ANA MISIMAMO YAKE MIE NIMEIPENDA HASWA KWENYE SWALA LA ZAWADI...!!!
 BINTI MREMBO KHADIJA AKIKATA KEKI
 UMEONA NGUO KWANZA???
 KHADIJA AKIGONGA GLASS NA WAZAZI WAKE
 KHADIJA NA MAMA YAKE MKUBWA!!!!
 JAMANI NINA WADAU NAWATAMBUA KWA MCHANGO WAO MKUBWA, SANURA & HAIKA WOTE MA BI ARUSI WANGU!!!!
 MIE NASEMA KAMA ADA KWAITO!!!
KHADIJA BAADA YA KUMUONA MCHUMBA WAKE, ANASAWAZISHA...!!! 

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

9 comments:

 1. So beautiful mashaallah! Nguo bibi harusi kanunua wapi jamani? Namie nataka tujuzane wapi zanapatikana nami nipendeze kwenye harusi yangu

  ReplyDelete
 2. tumeiona mashughuli nzuri kweli hiyo nguo jamani. jamani kweli kuvaa nako gharama looh. bi harusi mwaah pendeza kwa sana una damu ya nguo.

  ReplyDelete
 3. IT WAS HOT! HOT! HOT ! PARY MWAAAAAAAAAAAA BEBE YOU MAKE IT

  ReplyDelete
 4. thnx dear,tumejitahidi kufanikisha sherehe ya cute wetu Mungu ametuwezesha na tunawashukuru wadau wote kwa michango ya hali na mali Mungu awazidishie mlipopunguza, be blessed.
  kuhusu nguo hayo ni mambo ya EVE COLLECTION,I SALUTE HER.

  ReplyDelete
 5. Mmependeza sana kuanzia make up hadi mavazi, yaani bi harusi big up sana pamoja na familia nzima, you look mwaaah. Napenda sana watu wanaojua kuvaa kulingana na shape zao hawa ni mfano wa kuigwa, safiiii sanaa

  ReplyDelete
 6. YAP GOD IS GOOD THE PART WAS SO AMASING........

  ReplyDelete
 7. ASANTE DEAR,NGUO IMESHONWA KWA EVE COLLECTION, THANX TO HER, I SALUTE!
  TUNAMSHUKURU MUMGU KWA KUTUWEZESHA KUFANIKISHA SHEREHE YA MTOTO WETU.

  ReplyDelete
 8. EVE COLLECTION UMETISHEA, THE DRESS WAS AMAZING KIKWETUKWETU ZAIDI, TUNAPROMOTE HOME MADE PRODUCT TZ TUNAWEZA.
  GRAMBOX NOW WANAWEZAJE KUPAMBA NOT TO MUCH MAKE UP BUT CLASSIC.
  HONGERA KHADIJA, NUSURA.
  THE PARTY WAS HOTTER

  ReplyDelete
 9. IT WAS CLASSIC KIUKWELI
  HONGERENI MATAGI'S FAMILY

  ReplyDelete