NASRA's KITCHEN PARTY!!!

BRIDE                       ::NASRA
VENUE                      ::MANGO GARDEN
BRIDAL MAKEUP  ::ASILA BRIDAL PACKAGE
CAKE                         :: OCCASIONAL PLANNING
DECOR                      ::PERFECT WEDDING
COLOR                      ::GREEN, PURPLE & PINK
CATERE                    ::MARIAM TWAHIR TALMA CATERER
NASRA MWARI WA ISHA MASHAUZI HAPANA CHEZEYA, SIFA KWA MPAMBAJI MAANA MANGO GARDEN ILIPENDEZA SANA, UKIJA KWA MAKE-UP ARTIST ASILA KACUFANYIA KAZI USO NA NYWELE ZA NASRA...!! ISHA AMFICHUA MWARI WAKE LIVE..!!!

 
NASRA AKIINGIA UKUMBINI...!!!
SOMO ISHA MASHAUZI NA PAMBE YAKE WAKIINGIA KUMFICHUA MWARI
MC
MC NI YULE YULE WA MJINI ANAYESHIKA CHAT KWA SASA JAMILA KITMTIM
SOMO ISHA MASHAUZI NA PAMBE YAKE WAKIINGIA KUMFICHUA MWARI
 ISHA AKIINGIA NA PAMBE YAKE
ISHA ALIMFICHUA MWARI WAKE KWA KUIMBA LIVE!!! YAANI AKAPELA...!!!
 NASRA AKITOA INTRO...!!!
DECOR....///
ZAWADEE
CAKE
 ALIANZA KUWALISHA MAMA ZAKE
 MAWIFI TOKA ZANZIBAR...!!
CHAMPAGNE
BURUDANI
ISHA MASHAUZI SOMO YAKE NASRA AKIMUINGIZA NA NGUO YA PILI CHEZEA MASHAUZI WEYE...!!!
NASRA
 ZAWADI & TUNZA
 TULIANZA KUMFUTA JASHO MAMA MZAZI
 TANT AKIWAFUTA JASHO WAZAZI
 MARIAM BEST 
TANT ALIWATUNZA WOTE WAWILI
TANT BOY NA KAMPANI YAKE
 ODO ZIADA AKIPELEKA SANDUKU LA MAMA
 MAMA MLEZI ODO ZIADA AKIKABIDHI KABATI
ODO ZIADA ALIONGEA KWA MAJONZI HUKU AKILALAMIKA MWANANGU SINA NILITAMANI KUKUPA KIKUBWA ZAIDI....!! MIMI KILA SIKU NASEMA ZAWADI UTAKAYOMPA MWANAO NI KUBWA SANA....!!! WEWE KAMA WEWE, NAAMINI HAKUNA MZAZI ASIYEMPENDA MWANAYE ILA MAAJILIWA YA WATU NI TOFAUTI...!!!
 ODO ZIADA WEWE PENDA SANA MWANAO MASHALLAH!!
MAMA MZAZI AKIPELEKA ZAWADI ZA SUFIRIA KWA NIABA YA SHOGAYE AMBAYE HAWAJAWEZA FIKA SHUGHULINI
 MAMA MZAZI WA BI ARUSI AKITANGAZA ZAWADI AMBAZO TAYARI WALISHAMKABIDHI BI ARUSI HUKO ZANZIBAR...!!! SOFA SET & DOUBLE DOOR SUMSUNG FRIDGE
 SIZA WA SEGERE AKIKABIDHI ZAWADI YAKE, AMBAYO IKO TAYARI ZENJ
SHANGAZI AKIKABIDHI COOKER 
SHANGAZI AKIENDA KABIDHI ZAWADI, DINNING TABLE
WASTARA BUNGARA AKIPELEKA ZAWADI KWA NDUGU ZAKE
 PAMBE YA SOMO WA UKWEE'E ISHA MASHAUZI WAKIINGIZA ZAWADI YA SOMO AMBAYO NI MAMBO YA JIKONI TU...!!
 ISHA ALIMFUNGA KANGA MWARI WAKE AKIMWAMBIA JIKONI PIKA UMEVAA KHANGA...!!! NDIO DESTURI ZETU MWARI WANGU
NASRA AKITONJESHA MAFUNDO YA SOMO...
 BILAL AKIMSINDIKIZA BI ARUSI KWA SINGO YAKE MPYA INAYOHUSU KUFUNDWA..!!
 BIBI WAKITOA ZAWADI
SOMO AKIFUTWA JASHO!!! NA WAZAZI WA NASRA
 ODO ZIADA AKIMFUTA JASHO
 BIBI NAYE AKASEMA HATA UMEFUNDA MJUKUU WANGU LAZIMA NIKUFUTE JASHO
 MAMA MZAZI AKIMFUTA JASHO SOMO 
 WAZAZI WALIMTUNZA ISHA LAKI TANO...!!
 BIBI NA ISHA 
 ISHA AKIMFUTWA JASHO NA SHOSTITO
NYUSO
 ASHA TOM N FRIENDS
NASRA NA MAMA ZAKE
 FATMA & FRIENDS
PAMBE YA SOMO HIYO...!!
JASMINE AND ZAKIA
MWARI NA SOMO
ODO ZIADA & FRIENDS
BILAL, FARIDA TOM & GEORGE
NASRA NA BIBI YAKE 
BILAL MISH MISH AKMUSPPORT SHOSTI WAKE ISHA...!!
ODO ZIADA MAMA MLEZI NA BINTIYE
FRIENDS OF JANGWANI GROUP
CHAKULA
MARIAM TWAHIR MAMA YA MADIKODIKO
RED CARPET

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment