MWANAIDI ISLAMIC KITCHEN PARTY!!!

BRIDE                        ::MWANAIDI

EVENT                       ::ISLAMIC KITCHEN PARTY

VENUE                       ::CUTCH HALL

COLOR                      ::ORANGE,  BLUE & GOLD

MC                              ::MAKAMBWE YANINI

DECOR                      ::FANINA -+255 784 222 426/715 222 426 

CATERER                 ::FANINA - +255 784 222 426/715 222 426
 
NDIO MDAU HII NI KITCHEN PARTY YA KIDINI ZAIDI, NA SIO KWAMBA HAINA KUCHANGAMKA 

KAMA WENGI MNAVYOHISI SI KWELI MIMI NIMESHUHUDIA NA MACHO YANGU NI YA MAMBO YA

 MAHANASA YA DUNIA HAKUNA, MWANIADI ALIPENDEZA SANA TU NA KICHWA CHAKE KIKIWA 

KIMEFUNIKWA VINZURI, RANGI ZAKE ZA ZIMEMFUNUA UZURI...!!!


MWANAIDI AKIINGIA UKUMBINI
 MWANAIDI AKIITAMBULISHA FAMILIA
MC
JINA LAKE MIE HOI MC-MAKAMBWE YANINI
 M-KITI WA KAMATI
AKIKARIBISHA WAGENI
DECOR...!!!!
CAKE

BURUDANI
 
DJ AKITUPA RAHA ZOTE
BURUDANI YA MASHAIRI

MWANAIDI AKIKOSHWA NA KUPEWA ZAWADI
 ALIANZA MAMA MZAZI KUMPA BINTI YAKE ZAWADI
MAMA ALIMKABIDHI MSWALA, TASBI & MASAAFU
WIFI WAKIMPA ZAWADI WIFI YAO
 SOMO AKIPELEKA ZAWADI KWA MWARI
 SOMO AKIKABIDHI ZANA ZAKE ZA KAZI KWA MWARI
MAMA AKIMKOSHA SOMO
 JOHARI MDOGO WAKE MAMA PAPA WAKIENDA KUTOA ZAWADI KWA MWANAIDI
WAFANYAKAZI WENZAKE WAKIMPA ZAWADI
 MAMA AKITUNZWA
 MWANAIDI AKIMPA ZAWADI MAMA YAKE
 AKIMFUNGA MKAJA MAMA
 AKIENDELEA MTUNZA MAMA YAKE
MAMA NA MWANA
 MWANAIDI AKIGAWA ZAWADI KWA WAGENI WAALIKWA
 KAMATI IKIKABIDHI ZAWADI YAO
 MWENYEKITI WA KAMATI AKIKABIDHI ZAWADI YAO KWA MWANAIDI
PICHA YA PAMOJA NA KAMATI
NYUSO
 
 MWARI NA SOMO
MWANAIDI NA SHANGAZI ZAKE
 
MAMA PAPA NA FAMILIA YAKE PAMBE NA SARE YAO
MAMA MZAA CHEMA!!!
BLUE CARPET


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

13 comments:

 1. Mashaallah shughuli imependeza sana!

  ReplyDelete
 2. MASHAALLAH MMEPENDEZA SANA NIMEPENDA GAUNI LA BI HARUSI NA JINSI ALIVYOJISTRI ILA MIKONO INGEKUWA MIREFU INGEKUWA VIZURI ZAIDI NI WAZO SAFI TU NDUGU ZANGU.

  ReplyDelete

 3. Mashaallah Bi harusi umependeza sana. na umeonyesha mfano wa ma biharusi wa kislaam wanavyotakiwa kuwa.

  ReplyDelete
 4. SHUGHULI IMEPENDEZA SANA WATU WOTE WAMEJISTIRI ALLAH AMPE NDOA YENYE AMANI NA BARAKA TELE

  ReplyDelete
 5. Maashallah bi harusi kapendeza sana.....

  ReplyDelete
 6. MASHAALWAH STARA NZURI
  MOLA AMPE NYUMBA YENYE NURU KAA MWANGA ULOWEKWA NA ALWAH .NA AMPE WEPESI NA WANA WEMA .MUME AWE MSIKIVU NA MWENYE KUMJALI NA ASIJE MLETEA MKE MWEZA KWA KUA KITABU KIMEANDIKA .WAWAPENDE WAZAZI NDUGU
  ILA NGUO UNGEZIDI KIDOG MIKONONI NA WALE WALOKUJA BILA KUJISTIRI WAWE WANATOFAUTISHA SHEREHE ZA KIDINI ILA WOTE WAMEPENDEZA

  ReplyDelete
 7. Mashaallah shughuli imependeza sana. Mwenyeezi mungu awajalie kheri katika ndoa yao

  ReplyDelete
 8. Mashaallah stara nzuri waliojisitiri wamependeza sana! tuige mfano jamani kasjistiri na kapendeza sana tu!

  ReplyDelete
 9. Mashaa ALLAH .Inshaaa ALLAH this will be best and better weding here and hereafter InshaaAllah.ALLAHU AKBAAAAARRRR, ALLAHU AKBAAAAARRRRR

  ReplyDelete
 10. Kwa kweli manshaallah watoto wa kisilam tubadilike mmeona Mwana alivyopendeza ee

  ReplyDelete
 11. Masha allah dada umetokelezea allah aifanyie wepesi ndoa yako iwe na upendo wa kweli,amani na kizazi chema, kila la kheri.

  ReplyDelete
 12. Mashallah mashallah tuige mfano huu shughuli nimeipenda mungu ampe nyuma ya kheri

  ReplyDelete