MWAJUMA's KITCHEN PARTY!!!!

BRIDE                       ::MWAJUMA MALUGU
EVENT                      ::KITCHEN PARTY
VENUE                      ::NADDS HALL
COLOR                     ::PINK,GREEN, BLUE & YELLOW
MAKEUP                  ::GLAMBOX WEDDING
CAKE                        ::HAPPINESS HOUSE OF CAKE
DECOR                     ::PARTNERS WEDDING PLANNERS
DRESS-2                    ::AMINA DESIGN               
YAP NI KITCHEN PARTY YA MWAJUMA A.K.A MUMAH MAMBO YANATISHA, MUMAH ALITOKELEZEA NA NGUO ZAKE ZOTE MBILI KILA MOJA INAMSHINDA MWENZAKE, MUMAH AKIWA MCHANGAMFU, SAMBAMBA NA SOMO YAKE WA UKWEE'E ASHLEY, ZAWADI TISHA...

MUMAH ANASEMA NGUO YAKE HII DESIGN MWENYE NA FUNDI BARAZA NDIO KAISHONA TUJUZE FUNDI APEWE KAZI ANAWEZA...!!!
SWAGA ZA MUMAH
 MC JOJO 
TLIONGOZWA NA MC JOJO SAUTI TA SIMBA, YEYE BILA MICROPHONE SAUTI YASIKIKA PANDE ZOTE
MUMAH AKIINGIA UKUMBINI...!!!
HAPANA CHEZEYA UMEONA KAJIACHIA KWA RAHA ZAKE
MAMA AKIINGIA UKUMBINI
MWARI AKIFICHULIWA
INTRO...!!!
DECOR...///
 ZAWADEE
CAKE
CAKE YA UKWEE'EE
MUMAH AKIGONGA GLASS NA MAMA
CHEZA
ASHLEY NA TAHIYA NA SAMBAMBA NA SOMO YAO MWAJUMA SARAHANI HAPANA CHEZEYA...!!!
SOMO NA KAMPANI YAKE WAKIMUINGIZA MWARI NA NGUO YA PILI
PAMBE YA SOMO IKIMUINGIZA MWARI NA NGUO YA PILI, SOMO ASHLEY UKO JUU TISHAAA....!!!
HAPANA CHEZEYA NGUO MUMAH, IMETOKA AMINA DESIGN UKO JUU
MUMAH AKIKABIDHIWA NA ZAWADI ZAKE
TULIANZA NA SOMO HESHIMA KWA SOMO...!!!
 HAPANA CHEZEYA SOMO ALIINGIZWA NA ISHA MASHAUZI....!!!! KWENDA KUMTUNZA MWARI WAKE
  SHANTALLE AKIMUONGOZA PACHA...!!! SAMBAMBA SOMO WAO MWAJUMA SARAHAN
 SANDUKU LA SOMO HILOOO!!!
 PAMBE YA SOMO ASHLEY NA KAMPANI YAKE
 MAMA AKIENDA MKABIDHI ZAWADI ZAKE MUMAH
VYOMBO VYA JIKONI VYA UKWEEE
AKAMKABIDHI NA BEDROOM SET ILIYOKAMILIKA
KITANDA UMEONA SHUKA EEH!! HAKUNA KAMA MAMA
 
MTOTO KWA MAMA HAKUI
 MAWIFI WAKIPELEKA ZAWADI KWA BONGE LA WIFI MWA
 ALIANZA KUMKOSHA KWANZA
KISHA AKAMKABIDHI FLAT SCREEN
MWAJUMA AKIMTUNZA MAMA YAKE NA KUMKOSHA
 KISHA AKAMTUNZA VITENGE WAX ZA UKWEE'E
 AKAMFUTA JASHO MAMA YAKE KIPENZI
 MWAJUMA AKAMPA ZAWADI YA PICHA YAKE MAMA YAKE
 MWAJUMA AKIMTUNZA SOMO YAKE...LOL
 HAPANA CHEZEYA SOMO YUKO FIT
MWAJUMA ALIWAPA WALIOMSAIDIA MWAZO
 
 YES!! HAWA NDIO MASHOSTITO WALIOKUWA PAMOJA NA MWANZO MWISHO NA BI ARUSI
MAMA AKITUNZWA NA KUKOSHWA
MWAJUMA AKITUNZWA....!!!!
CHAKULA
NYUSO
SOMO ASHLEY, ISHA & SHANTALLE
MAMA MZAA CHEMA
MAMA NA MWANA
MAMA NA MWANA
HAPANA CHEZEYA SOMO YAKE SHOGA MWAJUMA SARAHAN
RED CARPETMashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

4 comments:

 1. Mwa J. Mrembo, Mungu akujaalie katika ndoa yako, Umependeza, na shughuli yako ipo juu. Ni kali ya Ukwe, MUNGU AKUPE MAISHA YENYE FURAHA NA UTULIVU KATIKA NDOA YAKO.

  ReplyDelete
 2. wow bonge la kitchen party bi harusi umenoga sana.jamani nguo kali

  ReplyDelete
 3. bi harus mashallah

  ReplyDelete
 4. yaani umependeza sana,Mungu akujalie Maisha mema na marefu katika ndoa yako.

  ReplyDelete