MOHAMED BAH 21ST BIRTHDAY PARTY!!!

EVENT                      ::21ST BIRTHDAY PARTY-LUNCH & BERBARQUE
VENUE                      ::MARATHA HALL MSIMBAZI CENTER
CAKE                         ::
COLOR                     ::RED, BLUE AND YELLOW
CATERER                 ::MARIAM TWAHIR
MC                             ::LULU +255 717 002 960/784 121 200
ENTERTAINMENT   ::PRIVATE TAARAB BAND LIVE
14 DEC 2013 ROSE AMESHAREKEA BIRTHDAY YA MIAKA 21 AKIWA KIJANA WAKE MOHAMED BAH BAADA KUWA MBALI NAYE KWA MIAKA 16, STORY YA ROSE NA KIJANA WAKE MOHAMED NILIITOA HAPA MASHUGHULI WAKATI TUKIMPOKEA ROSE NA MOHAMED JUNE 2013  AIRPORT, RE-UNION OF ROSE AND HIS SON AFTER 16 YEARS!! CLICK HIYO LINK KUSOMA ZAIDI, WATU WENGI WALITUMA COMMENT NA KUNIPIGIA SIMU KWA UCHUNGU WALIOHISI JAPO HAWAMFAHAMU ROSE, NDIO TUMBO LA UZAZI, LEO ROSE ANAMSHUKURU M-MUNGU KUWA PAMOJA NA KIJANA WAKE, NI PARTY YA UKWEE'E ILIYOWAKUSANYA WALE WA MJINI NIWAJUAO MIMI, SHOGA KAMA HAUPO HAPA TURUDI KIMBIJI...!!! MOHAMED ALIPATIKANA KWA NJIA YA MTANDAO WA JAMII FACEBOOK BASI LEO TUTAMUONA HUYO ALIYEFANYA MPAKA MOHAMED LEO YUKO NA MAMA YAKE....!!!

MOHAMED YOU HAVE STAR QUALITY IN MADAME RITA VOICE...!!!
 YEYE NI SHABIKI WA BARCELONA
 I SEE ROSE IN YOU!!!
 SWAGGA
 I LOVE HIS NATURAL HAIRSTYLE
 WANASEMA HIVI MWANAUME ANAVAA SILVER BWANA!!!
DECOR....!!!!
MC LULU MARA NYINGI NIKIWA NAYE KWENYE KAZI, KIWANGO CHAKE NAKIFANANISHA NA ANGELA BONDO...!!! YUKO JUU WADAU
MOHAMED BAH AKIKATA KEKI
 ROSE MAMA YAKE MOHAMED AKIKARIBISHA WAGENI 
 KISHA AKAMUITA MOHAMED 
CHAKULA
BURUDANI
 UPANDE WA MUSIC TULIKUWA DJ DORA TOKA GM MUSIC POWER, WADAU NI WAKATI MUAFAKA SASA TUWATUMIE MADJ WA KIKE KATIKA KITCHEN PARTY ZETU EEH!!!
ANAPATIKANA:: +255 765 501 033/655 227 733
 MAFIKIZOLO-Khona Khona Ewu eeee Ewu eeee khona!!!
 MAFIKIZOLO-Khona Khona Ewu eeee Ewu eeee khona!!!
 ASUU...!!!
ROSE KAGUSWA AKITUNZA
 SUPRIZE....!!!
ZAWADI KWA MOHAMED BAH!!
MAHAMED BAH, MAMA YAKE NA ZIADA 
WALIANZA WANA FAMILIA MAMA MKUBWA AKI MPA HONGERA
 FATMA NJEMBA
 SHARIFFA HASHIM
 SALAMA KATUNGUNYA
 HIDAYA  KAZIRAHABI 
 MIRIAM JOGI, MARIAM MNTAMBO & AZIZ WAKIWALISHA ZAWADI YA SALMA MNTAMBO INJINI YA JIJI!!!
 UJUMBE KAMLETEA MJUKUU WAKE FRIDGE YA CHUMBANI ASIKOSE MAJI BARIDI NA JOTO LA DAR...!!

 MASHOGA ZAKE ROSE WATOTO WA MUJINI NDIO HAWA HAPA...!!! KAMA HAUMO RUDI KIMBIJI...!!
 LILIAN KARAMUNA "BOSSLADY" AKIMPA ROSE HONGERA
SAADA AKIMKOSHA ROSE
 SHARIFFA KAVU KAMA KAWA AKIMKOSHA ROSE
 UNCLE AIKE AKIMTUNZA MOHAMED BAH
 UNCLE AIKE AKIMSHOWER MOHAMED PESA...!!! THIS IS TYPICAL NAIGERIA STYLE!!!
 MISHY AKIENDA KUWAJOIN FRIEND OD ROSE..!!!
 SHILLA KASITA KWA NIABA YA MARAFIKI WOTE AKIKABIDHI TSHS, 2M NA CARD...!! 
 SAIDA AKIENDA TUNZA
 RAISI YA CHINA MAMA SAIDA KANYAU HAPANA CHEZEYA MPASUO...!!!
 WANASEMA KITU NDANI YA BOX SAMSUNG GALAXY NOTE 3
 BAADA YA SAIDA KUMPA ZAWADI MOHAMED AKAMKOSHA SHOSTITO ROSE
 MOHAMED BAH POZI YA SAMUSUNG GALAXY NOTE 3 EEH!!!
 NIMEMSHIKA IMARA KUFURUKUTA HAWEZI...
 MTAKUFA KWA KIHORO SIMUACHI MPENZI WANGU
 SAIDA ALITAMBAJUE, MTANICHUKIA BURE KUPENDWA NI JADI YANGU!!!
 BAADA YA SAIDA KANYAU KUMPA ZAWADI MOHAMED BAH, MISHY NA SAIDA WAKAMSINDIKIZA DAUDI KUTOA ZAWADI
 DAUDI AKIMPA ZAWADI MOHAMED BAH   
 DAUDI KANYAU YEYE ALIMTUNZA POUND!!! ASIKOSE PESA YA KUWEKA MFUKONI!!!
THANK YOU UNCLE
IKAFIKA MUDA WA MARAFIKI WA ILALA ZONE
 
 YOU SEE JOHA KABOTOKA...!!!
WATU WA ILALA ZONE WAKIENDELEA KUMFUTA JASHO ROSE
 ROSE NA MARAFIKI WAKE WA ILALA ZONE!!!
 IKIAFIKA MUDA ROSE AKAMTAMBULISHA YULE ALIYEKUWA AKICHAT NA MOHAMED, KWA BAHATI NZURI MOHAMED NA YEYE NI BROTHER N SISTER, I MEAN MTOTO WA BA MKUBWA N MDOGO..!!!  UMEONA MIUJIZA YA MUNGU..!!! YEYE NDIO ALIYEWACONNECT ROSE NA MWANAYE
 IS SHE A MODAL?? MAANA HIYO CATWALK OMG
 ROSE ALISHINDWA KUONGEA MAANA HAJUI NI KITU GANA AMPATIE HUYU BINTI...!!!
ALIMPA ZAWADI AMBAYO BADO ANAONA HAITOSHI
NYUSO
PACO, JACK & FRIEND
PACO TISHAAAAAAAAAA!!
KATENDE AND FRIEND
MOHAMED AND MAMA ZAKE
MR. AIKE AND FRIEND
TONA, TETA AND ABUU
SHARIFFA, SALAMA, REHEMA AND LILLY KESSY
MOHAMED AND HAJRA
SHARIFFA, SALAMA AND LILLY KESSY
HALIMA AND MARIAM
CAROL KIRITA AND FRIEND
MWANANGU MIE HUYO AZIZ
KATENDE SIMBA
SHARIFA ZAWADI HIYO
SHILLA, ZAKIA, HAPPY & LILIAN KARAMUNA BOSSLADY
WANTED - MASHUGHULIBLOG CAMERAMAN UKIMUONA HUYU SAWASAWA NA MIMI
PAPA KIZAIZAI HAPANA CHEZEYA !!!
JOHA & HUBBY
GUDILA & FRIEND
MIRIAM AND HELLEN
MC JAMILA AND FRIENDS
BEST COUPLE!!!
NAKUONA SHERRY MAPEMA....!!!
SAIDA, DAUDI & NANA-KANYAU's FAMILY
HALIMA KAMUSI, MARIAM MNTAMBO & MIRIAM AZIZ
KHADIJA, MIRIAM, HUSNA & HUSNA
SAADA, KHADIJA, HUSNA & HUSNA
PILLER & FRIENDS
TONA & MKUU WAKE
MOHAMED AND FRIEND
VIMWANA...!!
MY LIL SISTER ANNA & FREIND
TINDWA, HARIRI , HUSEIN MACHENI & FRIEND
SAADA, MIRIAM AZIZ & ZAKIA
ROSE, MOHAMED AND J&M VIRGO DIRECTORS
BILAL, JUNAITHA & GEORGE
JUNAITHA PEMBA, ZAKIA MHAVILE AND FRIEND
MOODY MADENGE AND FRIENDS
MAMA LINDA. KHADIJA AND HIDAYA
MOODY MADENGE AND FRIENDS
SITTU MWASI AND HUSNA MADOHORA
DIVA DEVOTA AND MISHY
MAMA KIBUNJU AND MIRIAM JOGI
KHADIJA AND FRIEND
RUKIA, SHABANI, 
ARAFA TAMBA, MAMA KISMAT & MKWEWE
TANT BOY AND KAMPANI
MAPENDO AND FRIENDS
MAMA RIKADE, HELLEN & BABY GAL
ILALA ZONE
MAMA VANESSA & FRIEND
RED CARPET
SHILLA KASITA
HALIMA KAMUSI
ZAKIA RAJAAB
NANA KANYAU
SAADA NASSOR
TANT BOY
MC JAMILA KITIMTIM
CUTE MAMA KIBUNJU
MY LIL SISTER ANNA
SHARIFFA KAVU
GUDILAR
SHARRIFA HASHIMA
KHADIJA
SAID & DAUDI KANYAU
ROSE & JOHA KABOTOKA
CAROL KIRITA & HAJRA
MIRIAM JOGI & HELLEN
MIRIAM. MARIAM & F
MOHAMED & FRIEND
ROSE, MOHAMED & MISHY
LA FAMILIA
SHARIFA & HAPPY BAGHDELA
DIVA DEVOTA AND MISHY
JACK, ROSE N FRIEND
HIDAYA KAZIRAHABI, KHADIJA &
LILIAN KARAMUNA (BOSSLADY), SHILLA KASITA, ZAKIA MHAVILE & HAPAY BAGHDELLA
HUSNA, JAMILA MC, HUSNA MADOHORA & SHARRIFA KAVU
PILLER KARAMAGI & FRIENDS
DIVA DEVOTA, AIKE, MISHY
BEAUTFULL LADIES, NGUO ZA UKWEE'E JE WAJUA HIZO NGUO ZOTE ZINAPATIKANA WAPI? NI J&M VIRGO
SWAGGAS

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

8 comments:

 1. dada Hellen hongereni kwa kumpata kijana Mohammed, swali moja bado sijaelewa ilikuaje kijana akatengana na mama yake bila mawasiliano? au alizaa na baba wa nchi zingine mtoto akachukuliwa? nikipiga hesabu za haraka haraka mtoto alitengana na mama yake akiwa miaka 5 naomba tufafanulie. mbarikiwe wapendwa

  ReplyDelete
 2. picha nzuri,watu wamependeza lakini umekosea jina la dada mmoja hapo shoga yake na da sharifa hashim,anaitwa Salama Shaaban au Salama kingui sio katungunya.asante kwa picha.

  ReplyDelete
 3. Huyo Mohamed jamani mbona nimeshindwa kuelewa ni kwamba aliibiwa alipokuwa mdogo, alitoroka mwenyewe au ilikuwaje mpaka apotene na mama yake miaka 16 yote. Maana naona habari haijitoshelezi kabisa.

  ReplyDelete
 4. mashughuli mbona huelezei basi hata kwa ufupi ni vipi mohamed alipotea na ni vipi alipatikana nusu nusu tu ndo nn elezea at list watu wapate kushear basi he

  ReplyDelete
 5. True story haieleweki kabisa. Mishy pendeza sanaaa

  ReplyDelete
 6. Dada Helen ndio umeamua kutuacha gizani kabisa kuhusu Rose na mwanae nafungua humu kila dakika najua utakua umeweka maelezo nakuta patupu

  ReplyDelete
 7. Ila kuhadithia pia ni kipaji aisee

  ReplyDelete