LINDA's SENDOFF PARTY!!!

BRIDE                       ::LINDA KATEMBO
EVENT                      ::SENDOFF PARTY
VENUE                      ::DELUXE SINZA
COLOR                     ::RED,GOLD, BLUE & YELLOW
MAKEUP                  ::GLAMBOX WEDDING
CAKE                        ::TAMBAZA
ENTARTAIN.          ::NGWASUMA LIVEBAND
 YAP NI SENDOFF YA LINDA KATEMBO LEO TUMEINGIA KATIKA SHUGHULI YAKE YA PILI HAPANA CHEZEYA LINDA KAPENDEZA TENA BAADA YA FRIENDS PARTY NA HAPA KAFUNIKA NGUO ZAKE ZOTE BOMBA, LIVE BAND YA WAZEE YA NGWASUMA...

 SWAGGA ZA LINDA
 LINDA AKITOA INTRO...!!!

LINDA AKIINGIA UKUMBINI
WALIANZA KUINGIA MALAIKA WA LINDA...!!!
DECOR...//
INIVITATION CARDS TOKA SILMAL MABINGWA WA KUPRINT CARD ZENYE HADHI
KUONA CARD ZAO ZAIDI INGIA HUMU
CAKE
 CHAMPAGNE
LINDA ALIFUNGUA CHAMPAGNE HUKU KILA MEZA ZIKIFUNGUA KWA FUJO NI MILIO YA MILIPUKO TU...!!!
BAADA YA KUFUNGUA CHAMPAGNE LINDA AKABADILI NGUO YA PILI
HAPANA CHEZEYA, NI ILE ILIYOLETA MTAFARUKU
LINDA AKIINGIA NA NGUO YA PILI

SHOES FROM MARIEDO...!!!
BURUDANI
 TULIKUWA NA LIVE BAND YA NGWASUMA...!!! BILA KIINGILIO
LINDA AKIMTAFUTA MCHUMBA
 LINDA AKIANGAZA MACHO
YE ALIMPA KINYWAJI MLIPUKO...!!!
 KISHA AKAMVUA KOTI
 HAYA MLETEE TUMUONE
CHAKULA
HONGERA KWA LINDA
 ALIANZA MZEE KATEMBO  NA MAMA MLEZI KUMPA HONGERA NA ZAWADI, MZEE KATEMBO ALIMPA BINTI YAKE USD 500
 MAMA AKIMPA PONGEZI BINTI YAKE LINDA
KAKA YAKE LINDA NAYE AKAMFUTA JASHO DADA YAKE KWA MADOLLAR
 MDOGO WAKE LINDA AKIENDA MKOSHA DADA YAKE
 HAPANA CHEZEYA BINTI WA MZEE KATEMBO
 WANAKAMATI WAKIENDA KUMPA MKONO WA HONGERA LINDA NA ZAWADI YAO
 WANAKAMATI

 SHUU AKIMFUTA JASHO LINDA, HAPANA CHEZEYA...!!!
 HIDAYA ASPRO AKITUNZWA NA KUFUTWA JASHO MAMA MZAZI WA LINDA
 WIFI ZAKE LINDA WAKIMFUTA JASHO MAMKWE!!!
 RUKIA OTHMAN MAMA YA TANESCO AKIMTUNZA HIDAYA
 JOHA KABOTOKA AKIMTUNZA HIDAYA
TAJI LA PESA...!!!
 
NYUSO
JOHA KABOTOKA & FRIEND
MZEE KATEMBO...!! NAONA MADINI KWA MBALI
MAMA MLEZI NA MZEE KATEMBO
THE LADY WITH BLUE BAZEE MAMA MZAZI WA BWANA ARUSI
 HIDAYA ASPRO MAMA YA MUJINI...!!!
LEO KATOKA KIHALAT HAPANA ZILE SWAGA ZA NAIJA
HIDAYA ASPRO MAMA MZAZI WA LINDA PENDEZA SANA MAMA MZAA CHEMA
 LINDA NA KAKA ZAKE PAMOJA NA MDOGO WAKE
LINDA AKIWA NA MTOTO WAKE
LINDA & BROTHERS
MIRIAM & FATMA
MZEE KATEMBO & ASHA MKUREGENZI WA MANZELINE 
 MWENYEKITI WA KAMATI
RUKIA OTHMAN & FRIEND
HADIJA & FRIENDS
MAGE & KHADIJA
UPANDE WA MUME
WIFI ZAKE LINDA
 MIRIAM AZIZ & FRIENDS, HAPANA CHEZEYA KOFIA PAMBE
KAKA ZAKE LINDA
LINDA, MZEE KATEMBO & MAMA MLEZI
RED CARPET
 
 
      
   
            


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.