KHADIJA's SENDOFF PARTY!!!

BRIDE                          ::KHADIJA

EVENT                         ::SENDOFF PARTY

VENUE                         ::GOLDEN JUBILEE TOWER-JB MONTEL HALL

COLOR                        ::RED, GREEN,  & GOLD

BRIDAL MAKEUP     ::GLAMBOX

 CAKE                          ::OCCASSIONAL PLANNING

DECOR                        ::

MC                                 :: BEN KINYAIYA

CATERER                   ::DUGLAS
RANGI ZAKE NI GREEN, GOLD & RED, NGUO ZAO DESIGN BY EVE COLLECTION MAKEUP NI GLAMBOX, HIZO NDIO SWAGGA ZILIZOWAFANYA WAN'GAE KUPITA MAELEZO, BI ARUSI AKIWA MCHANGAMFU MWENYE TABASAMU NZURI, HII NDIO SENDOFF PARTY YAKE, PROGRAM IKIWA IMEKWENDA KAMA ILIVYPANGA, MC BEN KINYAIWA AKITUPA MWONGOZO WA SHUGHULI...PAMBE ZAMA NDANI...!!!

 BINTI MREMBO...!!!! MASHALLAH
KHADIJA NA MATRONE WAKE
YAP NGUO ZAO ZOTE DESIGN BY EVE COLLECTION
 
KHADIJA NA WAPAMBE WAKE!!
SWAGGA
WAZAZI WALIANZA KUIINGIA UKUMBINI
 MAMA NA MAMA WAKIINGIA HUKU WAKISINDIKIZWA NA FAMILIA
KHADIJA ALIINGIZWA NA KAKA YAKE UKUMBINI
MC
NIMEMPENDAJE BEN, WALE WA KHANGA MOJA HALAFU UNATAKA WIMBO WAKO KWAKE HAKUNA....!!! ANAJALI MUDA YAP MC LAZIMA UONGOZE SIO UONGOZWE
KHADIJA AKITOA INTRODUCTION
 
KHADIJA AKIWATAMBULISHA WADOGO ZAKE
DECOR...!!!
CAKE
 WAZAZI WAKIPOKEA KEKI
MAMA MKWE AKIPEWA KEKI YAKE
CHAMPAGNE
 WAREMBO WAKIFUNGUA CHAMPAGNE, NGUO 3 TOKA KUSHOTO DESIGNER NI EVE COLLECTION
 BONGE NAYE AKIGONGA GLASS
MAMA NA MWANA
BURUDANI
 SHOW YA VIJANA HAWA BOMBA KWELIKWELI
 MAIDS WA KAHDIJA WAKITUPA SHOW YA "MY NUMBER ONE"

HONGERA KWA BINTI MREMBO KHADIJA
WAZAZI WALIANZA KUMPA HONGERA NA KUMUAGA BINTI YAO
  MAMA MKWE  AKIMPAMBA BINTI YAKE
WAZAZI WAKITUNZWA NA WAKWE
 
 WAKWE WAKIWATUNZA BABA NA MAMA
 MAMA MKUBWA AKIWAFUTA JASHO MDOGO WAKE NA SHEMEJI YAKE
 MAMA NAYE AKASEMA KHADIJA NIMEFUTWA JASHO KWA AJILI YAKO BASI NGOJA NA MIMI NIKUTUNZWA KIPENZI CHANGU
 MAMA MKUBWA NA SHANGAZI WAKITUNZWA NA WAKWE
 
 KISHA MAMA MKUBWA AKAMTUNZA SHANGAZI PAPO HAPO!!
 WAFANYAKAZI WENZAKE KHADIJA TOKA FOREIGN AFFAIRS WAKIMPA HONGERA BINTI MREMBO
 
 BAADHI YA WAFANYAKAZI WAWAKILISHI WIZARA YA MAMBO YA NJE WAKIWAKILISHA ZAWADI YAO KWA KHADIJA
WAKAMKABIDHI FEDHA TASLIM
KHADIJA AKIENDA MTUFUTA MCHUUUUMBA!!!
 KHADIJA BAADA YA KUMUONA MUCHUMBA!!
 KISHA AKAMVISHA PETE!!!!
TWENDE FOR DINNER!!!
CHAKULA
NYUSO
 
GETRUDE & FRIEND
BABA NA MAMA ZAKE KHADIJA
BFF
MAMA MZAA CHEMA
 
MAMA NA MWANA

RED CARPET
 Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

5 comments:

 1. pendeza sanaaaaaa

  ReplyDelete
 2. switie more than switie

  ReplyDelete
 3. Wishing u all da best, so nice

  ReplyDelete
 4. nimefurahi kuona wanaume kwenye hii shughuli maana shughuli za humu ni wamama tu????? wababa wa kuhesabu!!!!

  ReplyDelete
 5. pendeza sana! ila watu mapozi ya picha badooo

  ReplyDelete