KHADIJA & MUHIMA WEDDING RECEPTION!!!

GROOM                    ::MUHIMA STEVEN SINGU
BRIDE                       ::KHADIJA HASSAN IDD
VENUE                      ::GOLDEN JUBILEE TOWER-JB MONTEL HALL
BRIDAL MAKEUP  ::GLAMBOX
BRIDAL DRESS      ::WEDDING BELLS
GROOM SUITS       ::AK's
CAKE                        :: OCCASIONAL PLANNING
DECOR                     :: LOTUS
COLOR                     ::GREEN, ORANGE & HOT PINK
 
HATIMAYE ILE SIKU KUBWA KABISA ILIKUWA IKISUBIRIWA NA KAHDIJA & MUHIMA IMEFIKIA, NEW COUPLE WAMEPENDEZA SANA, KHADIJA KAAVISHWA NA WEDDING BELLS NA MUHIMA KAVISHWA NA AK's WAKAONGWE WA SUIT ZA UKWEE'E, WAKIPAMBWA NA MAIDS WAO WAKIWA MAMEVAA RANGI ZENYE MVUTO...!!!

 

NDOA IKIFUNGWA KANISANI
KHADIJA AKIINGIZWA KANISANI
NDOA IKIFUNGWA
MAMA NA MWANA
DECOR.....!!!!
MAARUSI WAKIINGIA UKUMBINI
TULIANZA NA MAIDS
CAKE 
MUHIMA & JIS WIFE KHADIJA WAKIPELEKA KEKI KWA WAZAZI
MALAVIDAVI HAYO!!!
CHAMPAGNE
BURUDANI
PROGRAMME ILIKWENDA INAVYOTAKIWA MAARUSI WAKAFUNGUA MZIKI ON TIME
CHAKULA
NYUSO
WAZAZI WA BI ARUSI
JACK AND FRIEND
SISTERS
JACK AND FRIENDS
GETRUDE & HUBBY, LOVELY COUPLES
BLUE CARPET


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

5 comments:

 1. the best wedding ever, lovely couple,ilinogaje!
  maharusi FULL KUJIACHIA, WALICHEZA AS IF THERE IS NO TOMMOROW.
  GOD BLESS THEM OOH!

  ReplyDelete
 2. Nadhani bwana harusi ni msabato...safiii sana Nimependa simple bride umenoga atleast umenipa moyo ikifika zamu yangu nami ntapendeza maana sheria za wasabato ni balaa, hakuna ma urembo urembo wala heavy makeup.

  ReplyDelete
 3. It's tacky kuacha kitovu wazi harusini...kwani kuna ubaya gani kuvaa vizuri jamani?

  ReplyDelete
 4. lol!huyo aliyeacha kitovu nje kaboa jamani bt ilkua bomba hongereni

  ReplyDelete
 5. neyrich was more than nice.......big up

  ReplyDelete