BRIDE ::DR. SABINA MWINGIRA
EVENT ::BRIDAL SHOWER
VENUE ::DR. UPENDO NDALAMA RES.-KUNDUCHI
COLOR ::ORANGE, GREEN & WHITE
THEME ::NAIGERIAN SWAGGA
YAP NI NAIGERIA SWAGGA FULL, NDANI YA BRIDAL SHOWER YA DR. SABINA, KAMA NI SOMO LILIELEWEKA ASILIMIA ZOTE KWANI WOTE WALIFANANA, NAIGERIAN SWAGGA ZILINOGAJE, WANAKAMATI MKO JUUU,!!!! ZAMA NDANI UFURAHI NA PICHA...!!!
BRIDE TO BE DR. SABINA PENDEZA SANA!!!
BI ARUSI SABINA AKIIINGIA
CHAMPAGNE..!!
CAKE
CHAMPAGNE
DECOR...///
NYUSO
DR UPENDO MWINGIRA ,JOSEPHINE MWINGIRA,SABINA MWINGIRA,MRS CECILIA MWINGIRA(TUPA)
RED CARPET
Ni simple and very nice I like it
ReplyDeleteWamependeza sana. Aliyepamba ameitendea haki party. Naomba namba yake kwakweli.
ReplyDeleteImependeza sana ni nzuri kwa kweli. ila inahitaji mfuko ukae sawa (pesa) KILA LA KHEIR.
ReplyDeletemmependezajeee??watoto wa kingoni mko juu, kila la kheri SABBY, Karibu sana ktk maisha ya ndoa, muombe sana mwenyezi mungu akusaidie kusimamia nyumba yako.
ReplyDeletemmependeza saana hongera, naomba kujua hizo zilikuwa kofia zikauzwa au kila mtu alikuja kafungaa damn so hot!!!!!!!
ReplyDeleteBig up dr Upendo Mwingira Ndalama, hongera sana kwa sherehe nzuri, mwenyezi mungu azidi kukuongezea kila pale panapopungua kwani umebeba jukumu kubwa ktk familia yenu, Bless you na hongera sana kwa SABINA Iga mfano wa dada yako Dr Upendo.
ReplyDeleteDR Upendo Ndalama nimekukubali, mavazi nimeyapenda, vilemba si vya kawaida hongereni sana wapendwa.
ReplyDelete