DIWALANGE & ASHA RECEPTION WEDDING!!!!

GROOM                    ::DIWALANGE M. KIWAMBA
BRIDE                       ::ASHA ATHUMAN
VENUE                      ::MADSON HALL TABATA
CAKE                        ::MANZI BAKERY +255 713 248 153
DRINKS                    ::LEKOWI GENERAL SUPPLY
COLOR                     ::YELLOW & GOLD
CATERER                ::MAMA MANZI CATERER +255 713 248 153
HAYAWI HAYAWI YAMEKUWA NI WEDDING RECEPTION YA ASHA NA DIWALANGE, ARUSI ILIFANA MAARUSI PENDEZA KWA SANA, MAMBO YOTE HAYA YALIKUWA HAPO TABATA MADSON HALL ZAMA NDANI KUONA ZAIDI...!!!

 ASHA NA MUME WAKE DIWALANGE WAKIINGIA UKUMBINI
 SWAGA ZA ASHA..!!!
 DIWALANGE BWANA ARUSI AKITOA UTAMBULISHO
MC 
JAMILA KITMTIM TISHAAAA...!!!
MAARUSI WAKIINGIA UKUMBINI
MAMA MZAZI WA BWANA ARUSI BI MWASHAMBA AKIINGIA UKUMBINI
 UMETOKA SHOGA ANGU MIE...!!!
BI MWASHAMBA MAMA WA BWANA ARUSI AKIKARISHA WAGENI
DECOR..!!
CAKE
CAKE IMETENGENEZWA NA MANZI BAKERY
MAWASILIANO +255 713 248 153
 WANAKAMATI WAKIPOKEA KEKI YAO
CHAMPAGNE

KISHA ASHA & DIWALANGE WAKANYWA KINYWAJI MLIPUKO
BURUDANI
 MAARUSI WAKIFUNGUA MZIKI
HONGERA NA ZAWADI KWA MAARUSI
 BI MWASHAMBA AKITUNZWA
 
 MWANANA MANZI AKIMTUNZA BI MWASHAMBA
TUNZA

CHAKULA
MANZI CATERER VYAKULA VYA UKWEE'E 
MAWASILIANO: +255 713 248 153
MAHABATI
NYUSO
BI MWASHAMBA UMEPENDEZAJE, MAMA MZAZI WA BWANA ARUSI
MAMA MANZI MKUREGENZI WA MANZI BAKERY & MANZI CATERER
MZEE WA SAIGON BOB SUL
 
BI MWASHAMBA NA MAARUSI
 BI MWASHAMBA NA KAKA YAKE MZEE SULTAN

RED CARPET
MAMA MANZI PENDEZA
SWAGGA

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

2 comments:

  1. Hongera sana Dada Mwashamba! Harusi nzuri sana .... simple and very nice!

    ReplyDelete
  2. Wow! Reception nzuri wageni waalikwa wamependeza, namuona Dada Julie kapendezaa. Mzee Sultani N'garix2! Best yangu Mwinyi Big Up!

    ReplyDelete