DIANA GRADUATION PARTY!!!

EVENT ::GRADUATION PARTY
VENUE ::KWALALUMPA HALL SINZA
COLOR ::RED, GREEN, BLACK & CREAM
MC :: LILIAN MWASHA
NI SHEREHE YA KUMPONGEZA DIANA KWA KUMALIZA DEGREE YA KWANZA HAPO CHUO KIKUU MLIMANI, ZIKO SABABU NYINGI ZINAZOFANYA WANAFAMILIA KUKAA CHINI NA KUANDAA SHUGHULI KAMA HII KWA KIJANA WAO, DIANA NI BINTI MSIKIIVU MA MWENYE HESHIMA NA UPENDO KWA WATU WOTE, MAMBO SI MADOGO MDAUA ZAMA NDANI HATARIII HAPANA CHEZEYA ODO SALMA UKO JUU
MC
HAPANA CHEZEYA MAMA LILIAN ANAKAVAA KOTEKOTE JAMANI MC MPYA HUYOOO!!!!
DECOR...!!!!
BURUDANI
CAKE
CHAMPAGNE
CHAKULA
HONGERA
DIANA AKITOA SHUKRAN KWA WALIOMSAIDIA MPAKA KUFIKA HAPO
DIANA ALIWASHUKURU WATU WENGI SANA HASWA ODO SALMA NA MUMEWE
SALMA AAMINI KILE ANACHOKISIKIA TOKA BINTI MSOMI DIANA
NYUSO
LILLY MWASHA AND BIBI DIANA
SALMA NYANGASA & HUBBY
ARAFA & HUBBY WAKE PENDEZA SANA!!!
RED CARPET

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

6 comments:

 1. Wow! Graduation kama Send-Off hakika ilikuwa bombaa, huyo Odo Salma alipendezaje? Naomba contacts zake nimuulizie hiyo nguo amenunua wapi.

  ReplyDelete
 2. mmetokelezeaje, Hongeraaaaaaaaaaaaaaaaaa

  ReplyDelete
 3. kweli hongereni sana, huyo odo Salma hata mimi nimeikubali hiyo nguo, sijui zinapatikana wapi.
  Big up sanaaaa

  ReplyDelete
 4. Kumbe ndiyo maana Gerry Gama anadharau ana mke mzuri. Hongera zako odo Salma (mrs. Gerry Gama) ulipendeza sana. Nitamuomba mumeo namba ya simu unielekeze Biutique gani umenunua hiyo nguo. Mi mfanyakazi mwenzie

  ReplyDelete
 5. Mashalllah shughuli ilipendeza sana. Huyo odo Salma alifunika jamani mwanamke nwenzio akipendeza msifie. Take five Odo Salma

  ReplyDelete
 6. so nice! ila watu make up jamani khaaa kama uyo dada anaesinzia gundi ya wigi inaonekana plus poda ad machoni! huyo mwanafunzi kapendeza

  ReplyDelete