CHRISPINE & JACQUELINE RECEPTION WEDDING!!!

GROOM ::CHRISPINE NYALU
BRIDE ::JACQUELINE NDANSHAU
VENUE ::ROMBO GREEN VIEW HOTEL
COLOR ::BLUE, CREAM & RED 
BRIDAL MAKEUP ::DEV SALOON
MC :: MPOKI
YAP NI HARUSI YA KUKATA NA SHOKA KATI YA CHRISPINE & JACQUELINE WALIPOAMUA KUFUNGA PINGU ZA MAISHA, SHEREHE KUBWA ILIFANYIKA ROMBO GREEN VIEW HOTEL MASHAMBULIZI KAMA KAWAIDA KATA MTI PANDA MTI

  WALIANZA MAIDS KUINGIA
WAPAMBE WAKIINGIA...!!!
MATAYARISHO YAMEKAMILIKA....!!! KUANZIA CHINI MPAKA JUU
MAARUSI WAKIINGIA KWA TASHTITI KIBAO!!!
MC
MC NI MPOKI
INTRO....!!!
DECOR...!!!
CAKE
HESHIMA KWA MUME EEH!!!
CHAMPAGNE

BURUDANI
HONGERA NA ZAWADI KWA MR & MRS NYALU
MAMA AKITUNZWA....!!! KITENGE MUHIMU
MIE NAWAITA CHRIS & JACK WAKIPOKEA ZAWADI BIBLE NA ROZARI
KAMATI IKAKABIDHI FEDHA TASLIM

CHAKULA
 NILISHE NIKULISHE NDIO ISHARA YA UPENDO..!!!
NYUSO

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment