ANNA's KITCHEN PARTY!!!

BRIDE                        ::ANNA MAGANGA
EVENT                       ::KITCHEN PARTY
VENUE                       ::DAR LAESURE PARK
COLOR                      ::PITCH & ROYAL BLUE
MAKEUP                   ::MAZNAT BRIDAL CARE
DECOR                      ::HUGO DOMINGO
YAP!! NI ANNA's KITCHEN PARTY, BINTI MREMBO ALIPENDEZAJE JAMANI NA UREFU WAKE MMMH NASHINDWA ONGEA, DECOR YA UKUMBI YA KIPEKEEE , SARE IMENOGAA WAALIKWA WASAFIII HAPANA CHEZEYAAA...!!!

SWAGGA ZA ANNA
MAARUSI WAKIINGIA
MC
DECOR....//
 ZAWADEE
CHAMPAGNE
 BAADA YA KUGONGA GLASS NA WAALIKWA SASA WAKANYWA..!!!
 CHEERS
BURUDANI
 HONGERA NA ZAWADI
TULIANZA NA KAPU LA MAMA...!!!
 MAMA AKIKABIDHI KAPU KWA BINTIYE
 MAMA MZAZI AKIKOSHWA
 ANNA CHEZEYA PESA KWA KUKOSHWA
 MASHOSTITO WAKIMKOSHA SHOSTI KWA MAHELAAA...!!!
  MWENYEKITI WA KAMATI AKIKABIDHI ZAWADI
ANNA AKIGAWA ZAWADI
NYUSO
RAHMA & FRIEND PENDEZA SANA
 RAHMA & FRIEND

RED CARPET
SWAGGAS

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

3 comments:

  1. Nimemkubal Bi Harusi mtarajiwa kweli ni Mrembo, lakini pia Hongera kwa mtu wa Make-up amemweka kiasi kwamba uzuri wake umeonekana zaidi. no overdoing. Hongera keep it up. Mpambaji. (hataka kama uzuri unachangia, kuna wakati mtu akiwa taabu kidogo, halafu akisilibwa ma make-ups ya ajabu inakuwa kituko!!!!!.

    ReplyDelete
  2. kweli mashughuli blog mko juuu sanaaa..... picha nzuri na mnajitahidi sana kutuambia ni nani na nani pia kutuwekea matukio na kusema kua kinafanyika nn kitu ambacho blogs nyingine nyingi hazifanyi hivyo tunaishia kuangalia picha tu ambazo wkn mwngine unakua huelew ni tukio gani...

    asanteni na hongereni sana, kwa shughuli hii mdada kapendeza sana na kila kitu ni kizuri

    ReplyDelete