Sponsor

SHINDANO LA MAMA SHUJAA!!

11:21:00 AM

 

TSHS. MILLION TANO KUSHINDANIWA

Mara, Mwanza, Arusha, Dodoma, Kigoma, Mbeya, Mtwara na mikoa mengine mko wapi......???
Lile shindano la 'MPENDEKEZE ASHINDE vifaa vya kilimo vyenye THAMANI ya Tshs. million 5' linaloendeshwa na balozi wa kampeni ya GROW Shamim Mwasha linaendelea..... kwa masaa machache tumepokea maingizo 'entries' zinazokaribia 100 kutoka sehemu mbalimbali nchini...... umeshatuma pendekezo lako....???  umeshampendekeza mama, bibi, shangazi, mke, jirani, rafiki mkulima mwanamke mkulima, mwenye umri wa kuanzia miaka 18 na kuendelea anayelima mazao ya chakula..???

Kama bado, fursa ndio hii.... ni wakati wako sasa kumpa ZAWADI ya mwaka ya vifaa vya kilimo vyenye thamani ya Tshs. MILLION TANO. ndio Tshs. 5,000,000/=

ni rahisi sana BOFYA HAPA

Jaza nafasi zote 19 kisha bonyeza SUBMIT...hivyo tu....!!

Wekeza kwa Wakulima Wanawake Wadogo. INALIPA

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.