OUR GUEST:: MRS. SALMA MAULID GEKPE FROM NAIGERIA!!!

RAFIKI YANGU SALMA NI MTANZANIA ANAYEIISHI NAIGERIA, NI FASHION LADY ANAYEPENDA KUPENDEZA NA VIONJO VYA KIAFRIKA ZAMA NDANI UONE SWAGA ZAKE
HEADTIES CAN BE WORN EVEN WITH ENGLISH DRESSES
 
GEORGE MATERIAL IS MAINLY WORN AND TIED LIKE THIS BY IGBO TRIBE EASTERN NIGERIA
DAUGHTER OD SALMA IN CROSS RIVER STATE ATTIRE CALLED ONYONYO IS WORN IN SPECIAL CEREMONY

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

3 comments:

  1. manguo yao yanapendezaga sana, ona tofauti vilemba vyao wakifunga huoni nywele vinapendeza sana hapa bongo bado tunakosea utakuta mtu nywele mpaka usoni huku kilemba kilemba kinakua kama kibandiko cha manesi haipendezi kabisa kama unafunga kilemba usilete mtindo wa nywele ona hapo mwanamke kilemba kilivyomkaa ni hayo tu katika kurekebishana

    ReplyDelete
  2. Waooh!! Dada Helen tuletee zaidi hizi shots tujifunze expecially colours, african beads na vilemba. So simple an cute.

    ReplyDelete
  3. Huyo bint yake salma sura yake kafanana na mwimbaji wetu Lina Sanga

    ReplyDelete