Sponsor

ONJA:: ABUBAKAR MWILIMA & LULU WEDDING RECEPTION@ MLIMANI CITY!!!

2:41:00 PM

 WADAU ONJA PICHA CHACHE ZA RECEPTION YA KIJANA MTANASHATI ABUBAKAR MWILIMA & LULU, SIONGEI SANA NAWATAYARISHIA PICHA ZAIDI

 MAMA WA MZAZI WA BWANA ARUSI HELLEN CHIPAKA AKIINGIA UKUMBINI, PENDEZA EEH!!!
 MAIDS WA MAARUSI LOOKING BEAUTIFUL 
 FATMA MMARI & FRIENDS
 LAZIMA TUWAHABARISHE...!!! YANAYOJIRI
 CHEEEERS!!!!
 CAKE TIME....
 MAMA NA BABA NA NEW WED COUPLE!!!!
 HELLEN CHIPAKA MAMA WA BWANA ARUSI AKICHEZA!!!!

You Might Also Like

9 comments

 1. Mmmmm marvelous!!!! mbona picha chache? mmetubania?

  ReplyDelete
 2. Hongera sana Mr & Mrs Ahmed Mwilima kwa kupata mkwe

  ReplyDelete
 3. PENDEZAJEEEEEEEEEEEEEE YANI NG'ARI NG'ARI

  ReplyDelete
 4. Hongera sana Hellena, kwa kupata binti mwaya Mwenyezi Mungu awape ndoa yenye kheri waishi vizuri wakupa wajukuu wakutosha inshallah

  ReplyDelete
 5. Hongera Mr Abuuu naomba nitafutie mtu aitwae Casto mwambie nduguyo muhamed fundikila hukumjulisha

  ReplyDelete
 6. mbona picha chache jamani au zitaendelea hichi ni kionjo tu

  ReplyDelete
 7. mashaalllah mchora hinna mungu amuweke aendelee na kazi yake nzuri sanaaa, na maharusi wawamepedeza mungu uwape ndoa yenye baraka

  ReplyDelete
 8. Kichwa cha habari kinasema ONJA

  ReplyDelete
 9. Mmependeza wanangu,Mola awaajalie mpate watoto wema.Amin

  Daddy.Ahmed Mwilima

  ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.