ONYESHO LA KANGA ZA KALE 2013 LAFANA @ SERENA HOTEL!!!

ONYESHO LA KANGA ZA KALE LAFANA IJUMAA 8TH NOV 2013, KATIKA HOTEL YA SERENA JIJINI DAR ES SALAAM, ONYESHO LILIFUNGULIWA RASMI NA MGENI RASMI MAMA ASHA BILAL NA DESIGNERS MBALIMBALI WALIPATA NAFASI YA KUONYESHA KAZI ZAO, ISHA MASHAUZI CLASSIC AKIWATUMBUZA, WASHIRIKI MBALIMBALI WLIOSAIDIA ONYESHO HILO KUKAMILIKA WALIKABIDHIWA VYETI NA MGENI RASMI MAMA ASHA BILAL

 ASYIA KHAMSIN ORGANIZER WA KANGA ZA KALE EVENT AKIMKARI BISHA MGENI RASMI MAMA ASHA BILAL
MAMA ASHA BILAL NDIE MGENI RASMI WA ONESHO LA KANGA ZA KALE 2013, AKIFNGUA RASMI ONESHO 
DECOR
WAJASIRIAMALI
WAFANYABIASHARA NA MAKAMPUNI WALIPATA NAFASI YA KUONYESHA BIDHAA ZAO
BURUDANI
ISHA NA MASHAUZI CLASSIC WAKITUMBUIZA
SHOW
DESIGN BY KHADIJA MWANAMBOKA
DESIGN BY RIO 
SAADA
SHILOLE
VYETI
MICHUZI JR AKIPOKEA CHETI
SALMA MSANGI AKIPOKEA CHETI
SAADA AKIPOKEA CHETI
DJ JOHN DILINGA AKIPOKEA CHETI
BLOGGER MISSIEPOPULAR AKIPOKEA CHETI
ISHA AKIPOKEA CHETI KWA NIABA YA MASHAUZI CLASSIC BAND
ASILA BRIDAL PACKAGE AKIPOKEA CHETI NA KITENGE
NYUSO
KIBABUDE, ZNGUTOLONDO & AWADH, MASHATI YALIYOWAVUTIA WENGI, LINEN IMECHANGANYA NA KANGA YA KALE KAZI YA UBUNIFU NI JOHA SIMBA
SISTERZ
MAKEUP ARTIST ASILA & HUBBY PENDEZA SANA
KHADIJA MWANAMBOKA & FRIEND
DESIGNER KHADIJA MWANAMBOKA, TUNASUBIRI RED RIBBON HAPO 1ST DECEMBER
DESIGNER RIO THE STYLE & FRIEND
ISHA MASHAUZI
MARIAM & HUBBY
IF YOU LIKE THIS SHIRT DESIGN PLEASE CALL +255 763 709 871
RED CARPET
MISS TANZANIA
ZUNGUTOLONDON SHIRT DESIGN BY HAJAT JOHA SIMBA
AWADH SAEWAD-SHIRT DESIGN BY HAJAT JOHA SIMBA
KIBABUDE WITH SHIRT DESIGN BY HAJAT JOHA SIMBA
MARTIN KADINDA
SALMA MSANGI 
MISSIEPOPULAR BLOGGER
ZUNGUTOLONDO, KIBABUDE & AWADH
ZUNGUTOLONDO & FRIENDS
ZUNGUTOLONDON & AWADH
AWADH & KIBABUDE

SWAGGAMashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

3 comments:

 1. hiyo bambucha mi hoi

  ReplyDelete
 2. Heeeee umeiliona shoga angu loooo yaani hilo ni bambruuuucha lina uwingi halina umoja halafu mwenyewe katulia tuliii ningelivaa mimi naona ningehangaika mpaka linidondoke sijui kalifunga na nini very fun
  sophia

  ReplyDelete
 3. kwa kweli walipendeza sana

  ReplyDelete