MARYAM's KITCHEN PARTY!!!

BRIDE                     ::MARYAM
EVENT                    ::KITCHEN PARTY
VENUE                    ::WATER FRONT
COLOR                   ::GOLD, BROWN & PINK
DESIGNER             :: BAHIYA LUMELEZI - +255 713 233362
MC                           ::JAMILA KITMTIM
MARYAM NI MWARI WA SAIDA KANYAU MAMA YA CHAINA, ALIPENDEZAJE, HUKU NGUO YAKE IMEDESIGNIWA NA BAHIYA LUMELEZI HAPANA CHEZEYA STONE KUCHEZA NAZO NI KAZI YAKE, ZAMA NDANI UONE SAIDA KAMTUNZA NINI MWARI WAKE??? SI UNAJUA YEYE HABAATISHI.....!!!! FOLLOW ME INSTAGRAM:: MASHUGHULIBLOG NIKUONJESHE VITU KAMA HIVI........

 
SAIDA NA MWARI WAKE!!!!
MC JAMILA KITMTIM
DECOR...!!
ZAWADEEE
WAZAZI WAKIINGIA
MARYAM AKIINGIA
MARYAM AKIFICHULIWA
BURUDANI
 GUSAGUSA MINBAND LIVEEE!!!
ASUUUUU!!!!
WHEN BROTHERS PERFORM FOR THEIR SISTER!!!
ZAWADEE
WAZAZI WAKIKABIDHI ZAWADI KWA BINTI YAO
 WAZAZI WA MARYAM WAKIMKABIDHI COOKER
 KISHA AKAVISHWA MADINI EEH!!
WAKWE WAKIPELEKA ZAWADI YAO KWA MKWE WAO
 MADINI, MADINI, MADINI
 ISHA HUYOOOOO!!!
 ISHA MASHAUZI ALIKUJA KUMSINDIKIZA SOMO WAKATI AKIMTUNZA MWARI WAKE!!!
 SHAMSA, FRIEND & SAIDA WAKIPELEKA ZAWADI
 HUSNA MADOHORA & JOHA
 NANA, TIME & FADYA
 FAIZA SUPPORT KWA MAMA!!!!
 SAIDA MAMA YA CHINA AKIONGOZA PAMBE YAKE, MWANAMKE CONFIDENCE
 MAZAGAZAGA YOTE YA JIKONI PLUS ELECTRIC ITEM
 HASINA MOO. TANISA & FAIZA WAKIPELEKA ZAWADI ZA SOMO
 SANDUKU LA KWANZA LIKISASAMBULIWA, HILI LILIKUWA LA VIATU NA HANDBAG, KAMA VITU VYA KIDUKA CHANGU EEH!!
 UMEONA EEHH!! STAY TUNED KIDEO CHAJA
 HAPANA CHEZEYA SOMO AKIKABIDHI WASHING MACHINE!!!
 SAIDA AKIKABIDHI NEW SAMSUNG REFRIGERATOR
 HII NDIO PAMBE YA SAIDA WALIOMSINDIKIZA!!!
SOMO NA MWARI
MARYAM  AKIWA NA DESIGNER WA NGUO YAKE BAHIYA KAMA UMEPENDA AWE DESIGNER WAKO CALL +255 713 233 362
 KWANZA AKAMKOSHA BI ARUSI MARYAM KWA DOLLAR 
 WAZAZI WAKITUNZWA!!
CHAKULA
MAMA NA MWANA
NYUSO
FAIZA, FADYA & TANISA
DESIGNER ALITEDESIGN NGUO YA MARYAM BAHIYA 
DESIGNER  HAJAT JOHA SIMBA NA WANAWE
THE FASHIONISTAZ PENDEZA EEH!!
SAIDA MAMA YA CHAINA & FRIEND
FADYA FEREJ, SHUMU & BAHIYA DESIGNER
FARES KANYAU & FRIEND!!!
BEAUTIFUL LADIES!!!
FAIZA KANYAU & MARYAM
RED CARPET
FAIZA KANYAU ROCKING AS USUALLY!! 
I LOVE THE STYLE!!!
CUTE GIRL
HABIBA
FADYA FEREJ
ISHA MASHAUZI
MDAU WANGU PENDEZA SANA!!!
NANA KANYAU
MC JAMILA KITMTIM
SAIDA MAMA YA CHAINA AKIWA NA MWARI WAKE PAMBE TU!!! SHE NEVER GOING WRONG!!!
HUSNA MADOHORA & KAMPANI, HAPANA CHEZEYA WA MUJINI!!! KILA SIKU NG'ARING'ARI
HAJAT JOHA, MARYAM & FRIEND
DESIGNER BAHIYA AKIWA NA MARYAM & ISHA, NGUO AMBAZO KADESIGN
SWEET GIRLS!!!
NANA, ISHA & FADYA
SAIDA MAMA YA CHAINA & FERES( MAMA NA MWANA) SAIDA UMESHAPITWA UREFU!!!
SHUMU, ISHA, FADYA & NANA
SAIDA & WANAWE!!!
HASINA & FADYA
FADYA, TANISA & FAIZA
FASHIONISTA TANISA FEREJ
NANA & FADYA
 
SHUMU, HAJAT JOHA SIMBA, FADYA, NANA & FRIEND
TANISA, FAIZA & FRIENDS
TANISA, MARYAM, FADYA & FAIZA
SWAGGA


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

6 comments:

 1. Mashaaallah pambe sannaaaaa raha y shughul watu wapendezeee ucsahau za akdi eeeehhh tuone niqah ilivopanda...santee mama mashughul

  ReplyDelete
 2. beautiful as always maryam badaaa,al da best galfriend

  ReplyDelete
 3. BI JANAT KHALFAN- DOHANovember 26, 2013 at 4:04 AM

  ASLAM ALYKUM MAASHAALAH KITCHEN PARTY PAMBE, MAASHALAAH BI HARUSI MTARAJIWA KAPENDEZA SANA, WAZAZI HALI KADHALIKA NA WOOOTE PIA,HALI KADHALIKA SHUGHULI IMEPANGIKA VIZURI MASHAALAH, NA NI VIZURI KUMFANYIA MTOTO DHIFA YA KUONYESHA KUA WAZAZI WAMEFURAHI NA MTOTO ANAENDA KUANZA MAISHA MAPYA LAKINI YANGU MACHACHE NI HAYA AMA KWA HAKIKA BINT AU KIJANA AKIPATA MWENZA NI FURAHA SANA KWA WAZAZI NA KAMA ALLAH KAWAJALIA WAZAZI UWEZO BASI WAMNUNULIE BINT YAO AU KIJANA WAO KADIRI YA UWEZO WAO, LAKINI NAOMBA TURUDI KWA ALLAH WETU NA KUANGALIA HII TUFANYAYO YA KUTANDAZA VITU, MAPESA HADHARANI NI SAWA? KAMA TUNA CHOCHOTE TULICHOJAALIWA HATUWEZI KUMPA MTOTO WETU NDANI YA MAJUMBA YETU? JE TUNAKUBALIANA KUWA KUNA KITU KINAITWA HUSDA? (ALLAH AMUEPUSHE BI HARUSI NA JICHO LA HUSDA) NAOMBA MSINIELEWE VIBAYA KWANI MIMI NI MZAZI NA NAIJUA FURAHA YA MZAZI MWANAE APATAPO MWENZA NA WALA SITOI HOJA HII KUTAKA MALUMBANO ILA NI HOJA BINAFSI KWANI SIMJUI HATA MMOJA KATIKA SHUGHULI HII NA WALA SIISHI AFRIKA ILA KATIKA JINA LA ALLAH NAIKUMBUSHA NAFSI YANGU NA YA WENZANGU KUWA TUWE WAANGALIFU TUFANYAPO MAMBO YETU, ALLAH AMJAALIE BI HARUSI MTARAJIWA KILA LENYE KHERI, HUSDA IWE MBALI NAYE, AMFUNGILIE KIZAZI BORA MADUME NA MAJIKE, AMUHIFADHI, NA KUMSITIRI, AMEEN.

  ReplyDelete
 4. ameen kukumbushana wajib

  ReplyDelete
 5. AMEEN NI KWELI USEMAYO..

  ReplyDelete