MARIAM's SENDOFF PARTY!!!!!

BRIDE                         ::MARIAM LIKOKO

EVENT                        ::SENDOFF PARTY

VENUE                       ::MAKUMBUSHO GARDENS

COLOR                      ::YELLOW, ORANGE & GOLD

BRIDAL MAKEUP     ::GLAMBOX

DECOR                      ::TINA

STILL PICTURE       ::HAMIS's PHOTO +255 787 608 608
YAP NI SEND OFF YA MARIAM LIKOKO, NA RANGI ZAKE ZA YELLOW, GOLD & ORANGE ZILIMPENDEZA AKIINGIA UKUMBINI KWA KUJIAMINI HUKU AKISINDIKIZWA ZA WAPAMBE WA UKWEE'E ZAMA NDANI KUONA MAMBO MAZURI....!!! FOLLOW ME INSTAGRAM:: MASHUGHULIBLOG


DECOR.....!!!
MARIAM AKIINGIA....!!!!
 MARIAM AKIINGIA NA WAPAMBE WAKE
MARIAM AKIITAMBULISHA FAMILIA
BURUDANI
CAKE
HII ILIKUWA TOFAUTI MARIAM ALIANZA KUGAWA CAKE  KWA WAZAZI NA WAHUSIKA WENGINE KISHA NDIO AKAKATA CAKE, NIMEPENDA TUBADILISHE....
CHAMPAGNE
 
ZAWADEE
WAZAZI WAKIFUTWA JASHO...!!!
NYUSO
MAMA NA MWANA PENDEZA SANA...!!!
NAMTAFUTA MCHUMBA
MARIAM AKIMSAKA MCHUMBA AMPE ZAWADI
 
MARIAM NA MCHUMBA PENDEZA
CHAKULA
GREEN CARPET
MAMA NA MWANA
MDAU WANGU MAMA YA BANDARI...!!!
MY NDAU SANURA...NAKUPENDAJE

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

5 comments: